John Malecela: CCM itashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu mwaka 2015

Hata anachoongea sikuweza kumuelewa alikuaje waziri mkuu huyu? pia watanzania msisahau huyu jamaa alichomolewa na nyerere katika harakati zake za kwenda ikulu
 
Kutokana na muamko unaojitokeza siku hizi za karibuni, mfano kwenye serikali za mitaa tumeona wapinzani wakipata viti vingi na kutikisa ngome ya CCM.

Nieleweke kuwa sijasema upinzani hawawezi kushinda la! lakini ni wazi kujua kuwa kwa mazingira CCM iliyojiwekea ni ngumu kuachia nchi.

Hebu ona
a) Wakuu wa mikoa wote ni CCM.
b) wakuu wa wilaya wote ni CCM.
c.) Wakuu wa vyuo vya serikali wengi ni CCM.
d) Wakurugenzi wengi ni CCM
e) Tume ya uchaguzi sio huru wote wanachaguliwa na CCM.
f) Wakuu wa vitengo nyeti wote wanachaguliwa na rais wa CCM.
g) TISS kumejaa CCM.

Na ndio maana yoyote anayegemea kwenye 'umma' katika secta za umma na haegemei kwenye chama (CCM) basi hachukui round.

Walimu wengi wameichoka CCM, vijana wengi wameichoka CCM, wafanyabiashara, madaktari n.k wengi wameichoka CCM.

Hitimisho:
CCM itapata kura chache kuliko upinzani lakini CCM itatangazwa mshindi!! Hata hivyo itapata somo kubwa lisilosahaulika!!!
 
wacha ishinde kwa mabavu hayo lakini isisababishe umwagaji damu.

urais wataubeba kwa mabavu lakini wabunge wengi-asilimia zaidiya 65 watatoka upinzani pamoja na uchakachuaji utakaofanywa na ccm/dola
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na muamko unaojitokeza siku hizi za karibuni, mfano kwenye serikali za mitaa tumeona wapinzani wakipata viti vingi na kutikisa ngome ya CCM.

Nieleweke kuwa sijasema upinzani hawawezi kushinda la! lakini ni wazi kujua kuwa kwa mazingira CCM iliyojiwekea ni ngumu kuachia nchi.

Hebu ona
a) Wakuu wa mikoa wote ni CCM.
b) wakuu wa wilaya wote ni CCM.
c.) Wakuu wa vyuo vya serikali wengi ni CCM.
d) Wakurugenzi wengi ni CCM
e) Tume ya uchaguzi sio huru wote wanachaguliwa na CCM.
f) Wakuu wa vitengo nyeti wote wanachaguliwa na rais wa CCM.
g) TISS kumejaa CCM.

Na ndio maana yoyote anayegemea kwenye 'umma' katika secta za umma na haegemei kwenye chama (CCM) basi hachukui round.

Walimu wengi wameichoka CCM, vijana wengi wameichoka CCM, wafanyabiashara, madaktari n.k wengi wameichoka CCM.

Hitimisho:
CCM itapata kura chache kuliko upinzani lakini CCM itatangazwa mshindi!! Hata hivyo itapata somo kubwa lisilosahaulika!!!

Its sad, but I think you are right
 
Allan, ninaomba uwaombe mods wabadirishe heading yako ili iendane na maudhui. Kulazimisha uongozi si ushindi. Kama **** mshindwa atalazimisha kuongoza kwa hila kama tulivyoona kwenye serikali za mitaa, huko ni kuongza kwa udicatator na si kushinda kwenye kura.

Pengine tupate mpango halisi wa nini kifanyike ili kuzuia hii hali na lakini pia ikitokea hali kama hii wananchi tufanye nini.

1. Ninapendekeza kwa nguvu kwamba katiba inayopendekezwa isipigiwe kura hadi baada ya uchaguzi lakini marekebisho kadhaa ya sheria za uchaguzi yafanyike.

2. Elimu ya uraia itolewa kwa wantanzania wa ngazi zote ili wafahamu nini haki zao na wajibu wao pia.

3. Tume huru ya uchaguzi iundwe mapema iwezekanavyo ili ipate elimu na muda mzuri wa kufanya maandalizi sahihi kabla ya uchaguzi.
 
Kama Kura zitapigwa na wananchi wote wenye haki ya kupiga Kura halafu CCM wakawatumia watu Wao kujipatia ushindi kwa lazima huo siyo ushindi ni kupora ushindi.
 
there you are! hapo kwenye no.3 ni jambo linaloleta uchungu wenyewe!
 
Kama Kura zitapigwa na wananchi wote wenye haki ya kupiga Kura halafu CCM wakawatumia watu Wao kujipatia ushindi kwa lazima huo siyo ushindi ni kupora ushindi.

ccm kupoka ushindi ni inevitable!! hebu ref. kwenye serikali za mitaa...
 
Ndugu kula chakula usichokisotea lakini watanzania wao ndiyo wanajua nani au chama gani watakichagua.
 
Ndugu MCHAlomtamu kumbuka kuchagua na kuchaguliwa ni vitu viwili hapo sijagusa habari ya yule atakayetangaza ushindi! (NEC) hebu pinga kwa hoja ukikumbuka matukio ya juzi ya kuapishwa viongozi wa SMT
 
Last edited by a moderator:
Hii inatokana na ukweli kwamba hadi sasa miundombinu ya usafiri imeboreshwa mara dufu. Ujenzi wa shule za sekondari na vyuo. Hospitali na huduma za afya kwa ujumla zimeboreshwa...in fact ilani ya uchaguzi imetekelezwa kwa asilimia zaidi ya 80. Upinzani una hali mbaya na ngumu.wamebaki na uzushi na ubabaishaji bora wajiunge na ccm
 
Hilo litatokea kama Lowassa atapeperusha bendera ya CCM.... Ila mtu kama Membe akisimamishwa Dr. Slaa atachukua Nchi asubui na mapema....
 
Uliangalia matokeo ya serikali za mitaa au unaandika tu ili mradi. Unaumwa wewe
 
Hilo litatokea kama Lowassa atapeperusha bendera ya CCM.... Ila mtu kama Membe akisimamishwa Dr. Slaa atachukua Nchi asubui na mapema....

Low as a gan! Yule fisadi. Slaa nitiashio kwa kula kixhwa cha gamba! Hata tez dime mwenyewe anamgwaya!
 
Hii inatokana na ukweli kwamba hadi sasa miundombinu ya usafiri imeboreshwa mara dufu. Ujenzi wa shule za sekondari na vyuo. Hospitali na huduma za afya kwa ujumla zimeboreshwa...in fact ilani ya uchaguzi imetekelezwa kwa asilimia zaidi ya 80. Upinzani una hali mbaya na ngumu.wamebaki na uzushi na ubabaishaji bora wajiunge na ccm
Una mawazo mgando kama wajinga wenzako wa ccm
 
Ma ccm hamuwezi mziki wa upinzani,ndiomana mnachelewesha daftari lakudumu la wapigakura.na safari hii hakuna rangi mtaacha kuona.
 
Back
Top Bottom