John Malecela: CCM itashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu mwaka 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John Malecela: CCM itashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu mwaka 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by commited, Sep 24, 2012.

 1. commited

  commited JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  SOURCE: DAKIKA 45 ITV BY SELEMANI SEMUNYU 24/09/2012 saa 3.00 usiku huu

  1. Anasema siasa zetu zilipo fika hapa yeye alishajua tangu vyama vingi vinaanzishwa 1992

  2. Anasema CCM kitashinda kwa kishindo kikubwa sana, haya yanayotokea sasa ni kelele za chura tu hazina mashiko

  3. Anasema mtu atanayeonekana kujitapa kuutaka uraisi kwasasa huyo hafai, na tena tumtemee mate

  4. Ufisadi anasema kweli upo, anasema leo kuna watz leo wanapesa sana wamezipata wapi?

  Anasema alikuwa uingereza kuna mzungu alimwambia malecela kuna mtz alikuja hapo uingereza alinunua range rover akaisafirisha kwa ndege mpaka tzanaulizwa je kwa hali ilivyo kuhusu ufisadi je anadhani haya mapambano yatawezekana kutokomeza ufisadi?

  Anasema inawezekana kukomesha kupitia takukuru, polisi na usalama wa taifa
   
 2. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Uyu mzee na mwanae le mutuz wanafanana akili.
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  huyu ameshachoka akalee wajukuu tu, nimemsikia.
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Huyu si ndiye alisema angeshinda mtela kwa kishindo au keshasahau tayari uzee mwingine unaingia vibaya.
   
 5. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tunamshukuru sana kwani anaonekana usingizi umemzidi sana kiasi kwamba haoni alama za nyakati. Hata mtu anapokufa haamini hadi anapofunga macho. CCM ilishafunga macho kilichobaki ni mazishi tu.
  Watanzania walishagundua kuwa kura za bandia zinaweza safiri hata kwenye chupa za bia. Ndiyo maana tutasimamia kura zetu wenyewe na kuzihesabu wenyewe. Siku za danganyatoto zilishayeyuka zamani. Arumeru ilitangulia kuonyesha mfano. Majimbo mengine yanafuata.
  CCM ilizaliwa, ikakuwa, imezeeka, imekufa, na sasa inazikwa. Huu ndiyo ukweli halisi kwa sasa!
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Hata Kule Kenya MOI mpaka iliwa imebakia siku Moja kabla ya Uchaguzi alikuwa anaamini KANU Itashinda kwa kishindo tena kuliko Wakati wowote ule, Hatutegemei akae hapo na kusema CCM haitashinda,
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mbona hajatoa sababu za ushindi wa kishindo?
   
 8. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Anajipendekeza ili mke wake ashinde UWT ukweli anaujua!
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mzee amechoka ile mbaya hajui anachosema; kama ana ubavu amfanyie kampeni mkewe awe mwenyekiti wa UWT dhidi ya Sophia Kitwana Kondo!!!
   
 10. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee anaongea kama mganga wa kienyeji.
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huyu anapalilia pensheni yake toka magamba,mlitaka aseme anaona destiny ya c mabwepande ni mbaya? Hawezi
   
 12. M

  Molemo JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nyerere alimuita muhuni huyu kwa mambo yake ya kijinga
   
 13. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  It's a rare and difficult attainment to grow old gracefully and happily...2015?..cant wait.
   
 14. commited

  commited JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Anavilaumu vyombo vya habari kuhusu kukuza maswala ya wizi wa twiga, anasema hakuna haja ya kupiga kelele, wala kulikuza kwa kuwa sheria zipo, anasema twiga waliokwenda uarabuni hata 50, au 20 hawafiki, naona anaonyesha maswala hayo as if ni maswala madogooooo sana daaaah kazi ipo hapa kama hawa ndio washauri wa jk
   
 15. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
   
 16. commited

  commited JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Anamaliza kipindi anasemanchi yetu ni tajiri, na inaamani kwa hiyo kuvitumia hivyo twaweza kuendelea..... lakini hajiulizi kwa nini mpaka leo tuko hapa badala ya kuendea mbele sisi tunarudi nyuma1. kama leo 2012 watoto zaidi ya 5000 wanaofaulu kwenda sekondari hawajui kusoma wala kuandika je hao waliofeli wanauwezo gani??2. kama miaka ya 19990 tulikuwa na viwanda zaidi ya 150 nci nzima vilivyokuwa vinatoa ajira kwa watz zaidi ya 800000 leo vimekufa je utajiri wetu unatusaidia nini??3. Hajiulizi utajiri wetu umetusaidia nini ikiwa mpaka leo hata maji ,umeme, na barabara mjini tu ni shida achilia mbali kujitosheleza kwa chakula kwa milo 3 kwa kaya4. Sijui kama aliwahi kujiuliza inakuwaje sheria zipo na ufisadi unakithiri
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Enjoy your pensions Mzee wangu.
   
 18. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu commited, leave apart kuona ni masuala madogo, anonyesha ni suala halali kabisa..ila lifanyike kidogo kidogo.
   
 19. t

  tenende JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  EE MWENYEZI MUNGU NAKUOMBA SANA, Umpe mzee huyu maisha marefu ili aone ANGUKO la CCM mwaka 2015 akiwa na afya njema na uwezo wa kujibu maswali yetu!.
   
 20. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Tariq Aziz na Gadafi wake
   
Loading...