John Komba ni janga la CCM

John Komba ni janga la CCM

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,226
Reaction score
98,185
Wana jamvi ktk hali ya kujiamini kupita kiasi,mbunge wa ccm John Komba kumshambulia jaji mstaafu Mzee Warioba kwa matusi na kejeli ya wazi,je huu ndio utanzania tunao uhitaji kwa sasa?Ndio maadili yetu?Na kuna baadhi ya watu wanashangilia,kwa mtazamo wangu naona ni njia ya kulipasua taifa letu ki maadili.
 
Unajua Komba mambo au lugha anayotumia akiwa na Lulu kile kitoto cha miaka kumi naa kile alichokijengea nyumba yaani kile kisichojua kusoma nasema kile kiigizaji . Lugha anayotumia akiwa na kile kitoto ndio anayotumia hata akiongea na watu wa heshma. Angesoma maandiko angegundua kwamba kahaba humpeleka mtu pabaya
 
Wana jamvi ktk hali ya kujiamini kupita kiasi,mbunge wa ccm John Komba kumshambulia jaji mstaafu Mzee Warioba kwa matusi na kejeli ya wazi,je huu ndio utanzania tunao uhitaji kwa sasa?Ndio maadili yetu?Na kuna baadhi ya watu wanashangilia,kwa mtazamo wangu naona ni njia ya kulipasua taifa letu ki maadili.

Kiuhalisia ni kama wewe ungetukanwa na mtoto wa miaka mitatu, unaishia kumsamehe tu maana hajui alitendalo yawezekana matusi atakayo kutukana anacopy kwa mzazi wake na kupaste kwako bila kujitambua

OS ya Komba ni pirated, haina security features zozote, kila kinachoingia kinachukuliwa kuwa ni powuwa,

Kama vyeti vyake vya shule vikiwa re-graded leo hii, Komba ni Div V, alipaswa kuwa amekaa kibarazani anajipaka wanja na ina tu, sanasana akiimba taarab, mhurumieni hajitambui, wenyekulaumiwa ni wapigakura wake. hawakupima utashi wake

Warioba anaheshimika kimataifa, hivi tumsikilize Konba kwa mchango upi alioutoa kwa nchi hii, kama ni uimbaji, basi nadhani hajatokea mwimbaji aliyemzidi Hayati Marijan Rajabu

Komba ajitokeze hapa atwambie ni lipi analojivunia kuwafanyia watanzania au walimwengu akijilinganisha na Warioba au Marijan Rajab?
 
Huyu Bonge nyanya KOMBA anadhani akienda msituni ataenda kujifunza kuimba kwaya:disapointed:
 
mbona Lisu alipomkashifu na kumkejeli yule baba wenu wa taifa hakusema
 
Huyu Bonge nyanya KOMBA anadhani akienda msituni ataenda kujifunza kuimba kwaya:disapointed:

msituni atapaweza kwanza tumbo kbwa hata kuruka tofali moja hawezi
 
Kiuhalisia ni kama wewe ungetukanwa na mtoto wa miaka mitatu, unaishia kumsamehe tu maana hajui alitendalo yawezekana matusi atakayo kutukana anacopy kwa mzazi wake na kupaste kwako bila kujitambua

OS ya Komba ni pirated, haina security features zozote, kila kinachoingia kinachukuliwa kuwa ni powuwa,

Kama vyeti vyake vya shule vikiwa re-graded leo hii, Komba ni Div V, alipaswa kuwa amekaa kibarazani anajipaka wanja na ina tu, sanasana akiimba taarab, mhurumieni hajitambui, wenyekulaumiwa ni wapigakura wake. hawakupima utashi wake

Warioba anaheshimika kimataifa, hivi tumsikilize Konba kwa mchango upi alioutoa kwa nchi hii, kama ni uimbaji, basi nadhani hajatokea mwimbaji aliyemzidi Hayati Marijan Rajabu

Komba ajitokeze hapa atwambie ni lipi analojivunia kuwafanyia watanzania au walimwengu akijilinganisha na Warioba au Marijan Rajab?
yeye anajionaaa bab kubwa kutungia ccm miziki yake ya kibana puaaa tuu
 
Sitasikiliza nyimbo zake kuanzia siku aliyotukana labda niisikie nikiwa napita njiani kwa mtu mwingine lakini mimi nimeapa
 
Wapigakura wake kule ziwani nadhani kufikia sasa wanajilaumu kwa kuchagua figa kama lile.
 
Watanzania tieni,,,,,,,tieniii,,,,tienii kwa moyo mmoja,,,,,,,,! Jamaa zake nyimbo ha ha ha.
 
Hivi huyu komba ndo yule ambae alipata umaarufu baada ya kuimba imba nyimbo za maombolezo ya kifo cha baba wa taifa mwalimu Nyerere?
 
na tumbo lile unadhan kuna kitu kichwani? ndo mana mda wote analala akikurupuka ni ndiooo,hajui hata anasema ndio kwa sababu gani
 
Hata wataalam wanasema majitu yalio mengi yenye matumbo makubwa uwezo wao kiakili ni mdogo sana. Sasa huyu jamaa kujilinganisha na Jaji Warioba ni matusi makubwa. Aendelee kucheza na watoto wadogo ukuti ukuti....
 
Wana jamvi ktk hali ya kujiamini kupita kiasi,mbunge wa ccm John Komba kumshambulia jaji mstaafu Mzee Warioba kwa matusi na kejeli ya wazi,je huu ndio utanzania tunao uhitaji kwa sasa?Ndio maadili yetu?Na kuna baadhi ya watu wanashangilia,kwa mtazamo wangu naona ni njia ya kulipasua taifa letu ki maadili.
kwa unene ule,hawezi kuwa na akili timamu,asilimia kubwa ya mabonge dizaini ile ni matahila,nenda pale shule ya sinza maalum uone.
 
Le mutuz akitokea hapa sijui utakimbila wapi. He he he

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hata wataalam wanasema majitu yalio mengi yenye matumbo makubwa uwezo wao kiakili ni mdogo sana. Sasa huyu jamaa kujilinganisha na Jaji Warioba ni matusi makubwa. Aendelee kucheza na watoto wadogo ukuti ukuti....

Yaani Mtu akinenepa Saana Mafuta yanaingia kwenye Ubongo Uwezo wa kufikiri kabla ya kutenda hupungua sana , komba Tumbo Kama anakunya humo humo akili zake Zimefurika Mafuta anamwaza Lulu mda wote huku akina Ally kiba wakimega Mzigo yeye anaishia kuchunwa tu, huku baadhi ya familia yake wanataabika kwa njaa, komba Hana Uwezo wa kukaa Msituni sana sana Msituni ataenda KUNYAA....
 
Back
Top Bottom