haka kapointi kako hiviii....
kwa mfano unamdai mheshimiwa
Excel shs 1000 lakini kawa anagoma kukulipa kwa vijisababu ambavyo wewe havikuhusu... wewe ili umkamate na kidhibitisho (as long as huna ushahidi wa maandishi.. oral contract), inabidi umuandikie barua ya kumdai ambayo utazidisha deni mara 2!!!
sasa ili jamaa akane kuwa hadaiwi kiasi kile, ataandika deni sahihi!....dadeki zake!
Tushamkamata hivyo...