N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Nov 19, 2015 #21 Mbinu ya kizamani kabisa...wala haifanyi kazi... Yaani una usingizi halafu unaulazimisha kuuondoa kwa kuweka miguu kwenye maji! Sasa hapo utakuwa unasoma, au unashindana na usingizi? Pumba kabisa
Mbinu ya kizamani kabisa...wala haifanyi kazi... Yaani una usingizi halafu unaulazimisha kuuondoa kwa kuweka miguu kwenye maji! Sasa hapo utakuwa unasoma, au unashindana na usingizi? Pumba kabisa