John kisomo

yoote hayo ni ili John Kisomo apate div 5. Kweli ulimpatia msomi wetu akijikumbusha
 
Huo ni ujinga wa kuharibu miundo mbinu ya chuo..

Sasa kitanda kwa ajili ya malazi wewe unapanda na kiti na dishi..hiyo ni akili au matope?

Watu kama hawa ingefaa wapewe vyumba ambavyo havijasakafiwa na ngozi ya mnyama au jamvi walalie
 
kwa uzoefu wa hawa jamaa hapo inatafutwa division 5, wat makini wameshasoma wamelala
 
when msuli is applied,banda is given out and when sleeping increased zero remains constant
 
pitia hii link muhim jamiiforums.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
 
Daaa john kisomooo hahahaa umenikumbusha mbali sanaaaaaa'''''''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…