John Kaduma!

Hakika burudani imepotea
Sijajua kwa sasa tatizo liko wapi kwani bado tunayo hazina kubwa ya wachoraji wazuri, na wengi ni wa tangu enzi za kina Kaduma kama Marco Tibasima, Cloud Chatanda, Nathan Mpangala, James Gayo, Paul Ndunguru (mdogo wake na Philip Ndunguru), Chris Katembo, Ibra Washokera na wengineo... MIMI (Bishop Hiluka) pia nimechora kipindi hicho na John Kaduma alikuwa rafiki yangu, hivi sasa wengi wanafanya illustration za vitabu vya shule, au wamebadili fani na kuwa graphic artists kwenye magazeti mbalimbali au wamehamia kwenye animation baada ya soko la comic kuanza kulegalega.

Hapa chini ni Cloud Chatanda, huyu jamaa ni mkali sana, nimefanya naye kazi kwenye jarida la Kingo, hata marehemu John Kaduma alikuwa anamu-admire sana, unaweza kutazama kazi zake hapa

Cloud Chatanda.jpg


Hapa chini ni jarida la Kingo👇👇 moja ya kazi za Cloud Chatanda (Ingawa aliamua kuichora kikatuni zaidi)...


cover ya kingo.jpg
 
Sijajua kwa sasa tatizo liko wapi kwani bado tunayo hazina kubwa ya wachoraji wazuri, na wengi ni wa tangu enzi za kina Kaduma kama Marco Tibasima, Cloud Chatanda, Nathan Mpangala, James Gayo, Paul Ndunguru (mdogo wake na Philip Ndunguru), MIMI (Bishop Hiluka) pia nimechora kipindi hicho na John Kaduma alikuwa rafiki yangu na wengineo... hivi sasa wengi wanafanya illustration za vitabu vya shule, au wamebadili fani na kuwa graphic artists kwenye magazeti mbalimbali au wamehamia kwenye animation baada ya soko la comic kuanza kulegalega.

Hapa chini ni Cloud Chatanda, huyu jamaa ni mkali sana, nimefanya naye kazi kwenye jarida la Kingo, hata marehemu John Kaduma alikuwa anamu-admire sana, unaweza kutazama kazi zake hapa

View attachment 1530546

Hapa chini ni jarida la Kingo moja ya kazi za Cloud Chatanda (Ingawa aliamua kuichora kikatuni zaidi)...


View attachment 1530549
Sure. Binafsi nilikuwa namkubali sana huyu Cloud Chatanda, sikujua kama bado yupo kwenye gemu.

Jamaa fundi sana wa kuwasilisha mawazo yake kwenye graphics. Binafsi namlinganisha na Kelemba wa kenya.
 
Back
Top Bottom