John Kaduma!

Sawa sawa kabisa na ndani yake ilipatikana makala ya stanslaus katabalo ikihusu loliondo.akiita loliondo-gate.wapo wengi tu kuna emmanuely kibiki yo man.

Stan Katabalo alikuwa gazeti LA Mfanyakazi
 
Maelezo mazuri na historia nzuri sana,kumbe Chris Katembo nae kaanza uchoraji muda mrefu?RIP Kaduma.
 
R.I.PJOHN KADUMA familia ya ndg John ipo Iringa kama kuna mtu anataka kujua habari zake zaidi mama yake mzazi bado yupo hai anaishi Frelimo
 
Mzee vipi hii ahadi?
 
Nilikipata hicho kitabu cha Mtuhumiwa mwaka 2016
 
Kaka ahad ni den,mpaka sasa kwako huo mwaka haujafika?![emoji1787][emoji6][emoji2956],sisi wa zaman enzi izo tunakusubiria sana
 
Maneno yanaishi boss tupe mrejesho ulifanikiwa ama kutofanikiwa vipi hapa. Huu ni mwaka 2020.
 
Kumbukizi,
R.I.P my role model J.Kaduma
View attachment 1530237
Kipindi hicho nipo Darasa la 3B ilikuwa mwendo wa kuvizia kwa wakubwa kitaani maana ilikuwa mwendo wa kuazimishana wenyewe kwa wenyewe, sie kina bichkoma kulisoma hadi ulifume mchagoni au juu ya kabati
 
Kipindi hicho nipo Darasa la 3B ilikuwa mwendo wa kuvizia kwa wakubwa kitaani maana ilikuwa mwendo wa kuazimishana wenyewe kwa wenyewe, sie kina bichkoma kulisoma hadi ulifume mchagoni au juu ya kabati
[emoji23][emoji23][emoji23]mtaa mzima kuna kopi moja inazunguka au ukute kipande cha gazeti kimefungiwa maandazi ukifika hom unaweka maandaz kushoto unaanza kulipitia tartibu.
 
Philip Ndunguru alikufa mnamo Februari 28, 1986 kabla toleo hili la Sani halijatoka. Hizo graphic ni za Ibra Washokera...
 
Collins Mdachi naye alishatangulia mbele ya haki nadhani 2014. Huyu Magembe R. Malima sijui kapotelea wapi? Hii ndiyo shida ya JF mtu ambaye ana connection na mwenzake humu "AKIAGA" hatutakuja kujua.
Ni kweli Collins Mdachi amekufa. Wapo pia wachoraji wengine waliokuwa maarufu ambao pia wameshakufa kama Katti Ka-Batembo. Huyu alikuwa mwenyekiti wa Chama cha Wachoraji Comics Tanzania (Tanzania Popular Media Association "TAPOMA")...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…