John Heche: Tumetoka gerezani kumsalimia Lema, yuko imara na mwenye afya, ameniambia neno moja...

Nimekaa Arusha nimesali na Lema ninamfahamu Lema vilinge vyake vyote navijua A to Z na washikaji zake wote wa Arusha.

Mpaka tukio la kulipuka bomu Bomu uwanjani Lema na Mbowe waliposhuka tu Jukwani kukusanya pesa ktk mabox ya maji madogo ya Kilimanjaro iwasaidie walinda kura siku ya Uchaguzi wa Madiwani Arusha mjini nilikuwepo tena nyuma ya jukwaa kuu.
So what?????
 
Mawazo ya kipuuzi sana una umri gani?
Tatizo la Lema ni kuwasikiliza nyie,
Mshamuona hatumii akili sio?
Mnamdanganya kila mara na matatizo yanamgharimu yeye na familia yake tu!

Lemaaaa ukitoka huko fukuza kila atakayekuja kwako na kuzungumzia siasa.

Waambie malengo yao ushayajua, wanataka kukuangamiza, wanakuchochea ili uzungumze maneno wasiyoweza kuyazungumza wao.

Washakuona wewe ni mtu wa kuwasikiliza wao hasa unapov...t ile kitu.
 
Maisha ni safari ndefu sana na siasa zinahitadi adabu ya kisiasa.
Nimesoma haka habari ndio nikakumbuka hawa 'wababe' wa hapa ni cha mtoto, kuna wababe ambao wakikohoa tu mimba zinawatoka wanawake na leo hii hawana hata pa kulaza mbavu zao huku wakiwahi kumiliki mahekalu bila idadi!


>>>>>>Fuatilia hapa

Ex-prisoner sworn into Gambian cabinet
Posted at 20:58 1 Feb

A newly released prisoner has just been made The Gambia’s finance minister.

Just 72 hours ago Amadou Sanneh was still in jail for being an opponent of former President Yahya Jammeh, who went into exile about 10 days ago, the Associated Press news agency reports.

Among other the cabinet members sworn in today was a long-time opponent of Mr Jammeh’s Ousainou Darboe, who has also spent time in jail as a political prisoner.

According to the AFP news agency, he has been made foreign minister.

Mr Jammeh, who came to power in a bloodless coup in 1994, lost elections in December to Adama Barrow, who was backed by a coalition of opposition parties.

At first he accepted defeat, but then tried to get the results annulled.

West African leaders sent troops into The Gambia on the day Mr Jammeh was officially supposed to hand over power – and mediated his exit to Equatorial Guinea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom