Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,279
Anaandika Mbunge wa Tarime John Heche.
Tumetoka Gerezani kumsalimia kamanda Lema yuko imara na mwenye afya, ameniambia neno moja .
"kama unaamini hofu itakufanya uishi milele au upate uzima wa milele kutoka mbinguni nenda kaishi kwa hofu, lakini kama unajua hofu haikupi hayo basi kapiganie haki na usikubali kutiwa hofu wambie na makamanda wote"
Pia hata mimi mwenyewe nilipata nafasi ya kuonana Mbunge huyo Godbless Lema ujumbe anawasalimia watanzania wote ambacho anaomba kutoka kwenu kuendelea kumwombea kwa Mungu ipo siku maono yake yatatimia.
Nimeshangaa sana pamoja na Lema kuwa mahabusu bado ana ujasiri mkubwa naamini ukiwa upande wa Mungu hawezi kukuacha siku zote.
Anasema hatorudi nyuma mapambano ndo yameanza.