chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
===================================================================Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii mbunge John Heche amezungumzia operesheni tokomeza jinsi ilivochezea watu rafu na kuuawa kama wanyama.
Hapo hapo amegusia kuwa Rais wa China alipokuja Tanzania aliondoka na pembe za tembo na hii iliripotiwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kama Al Jazeera na BBC lakini serikali haikujibu wala kuchukua hatu.
a
Lakini serikali hii iliwaua wananchi na kuua mifugo yao ili kutokomeza ujangiri kumbe majangiri ndio wao wenyewe.