wewe ni mnafiki acha kudanganya umma hakuna mpuuzi anayefanana na wewe bila shaka umetumwa na mafisadi pumbavu wewewanatamaa sana hao madogo john henche na chacha henche ni ndugu wa tumbona moja na kaka yao ni yule mwanasheria wa nemco ndiye mkubwa na john henche ndiye mkubwa kwa chacha henche kwani wanataka nini wote hao?
wanatamaa sana hao madogo john henche na chacha henche ni ndugu wa tumbona moja na kaka yao ni yule mwanasheria wa nemco ndiye mkubwa na john henche ndiye mkubwa kwa chacha henche kwani wanataka nini wote hao?
kuna tetesi zinasema kuwa mmoja wa wagombea uenyekiti wa bavicha John heche ana umri wa miaka 30 ilhali hata mdogo wake wa damu Chacha heche naye ana niaka 30, je ni kweli kuwa hao ndugu ni mapacha ? kama siyo Chadema tuwe makin yale yale ya masauni yanaweza kuja kwetu
kuna tetesi zinasema kuwa mmoja wa wagombea uenyekiti wa bavicha John heche ana umri wa miaka 30 ilhali hata mdogo wake wa damu Chacha heche naye ana niaka 30, je ni kweli kuwa hao ndugu ni mapacha ? kama siyo Chadema tuwe makin yale yale ya masauni yanaweza kuja kwetu
Kwa taarifa tu ni kwamba wote hawa walisoma bulima sekondari miaka ya 1997-2000labda ni mapacha, pengine hatujuia hilo
Mkuu nina uhakika hawa vijana si mapacha, sekondari waliachana kwa zaidi ya miaka 3, na huyu diwani mstaafu alikuwa akiitwa Wegesa na kamaliza 2000, najua wapo humu wataeleza😛hone:usipende kushabikia kama hujaelewa nimesema kuwa kama wote mtu na mdogo wake wana miaka 30yrs je siyo kwamba john heche ameghushi umri au yeye na mdogo wake ni mapacha nahisi kuna umasauni hapa , maana inavyosemekana masauni alianza shule akiwa tumboni mwa mama yake , CDM angalieni umri wanaghushi vijana wengi
Wapambe na yeye mwenyewe John Heche a.k.a diwani mstaafu kama yumo humu ajibu maana mie nimesiki awatu wansema nikaleta jamvini wajadili, na pia labda tuombe msaadawa david kafulila anajuwa kama ni mapacha
Kaka ukisubiri John heche ajibu ni aibu hajui kutumia mtandao kabisa na labda wajibu wapambe wake , lakini kama hajui hata kutumia computer tutakuwaje na mwenyekiti wa namna hiyo, tunahitaji mtu msomi na mwelewa asiyeghushi umri , jasiri, hiyo ya ujasiri nisimunyonge inamfaa kabisa anayo , ila kwanini aforge umri???Mkuu nina uhakika hawa vijana si mapacha, sekondari waliachana kwa zaidi ya miaka 3, na huyu diwani mstaafu alikuwa akiitwa Wegesa na kamaliza 2000, najua wapo humu wataeleza😛hone:
wanatamaa sana hao madogo john henche na chacha henche ni ndugu wa tumbona moja na kaka yao ni yule mwanasheria wa nemco ndiye mkubwa na john henche ndiye mkubwa kwa chacha henche kwani wanataka nini wote hao?
Nemco ndio nini mkuu? mmeshaambiwa acheni kuparamia mambo msiyoyajua kwani Heche hujui wako wengi?!! ama ni dhambi mtu akiitwa heche?!! mmekalia majungu ya kizamani mtashikwa umbea..muulizeni yeye kama nyie mnajua wanalingana umri basi ni jukumu lenu nyie kuleta ushahidi sio majungu kwenye mitandao hiyo sio siasa...
<br />Kaka ukisubiri John heche ajibu ni aibu hajui kutumia mtandao kabisa na labda wajibu wapambe wake , lakini kama hajui hata kutumia computer tutakuwaje na mwenyekiti wa namna hiyo, tunahitaji mtu msomi na mwelewa asiyeghushi umri , jasiri, hiyo ya ujasiri nisimunyonge inamfaa kabisa anayo , ila kwanini aforge umri???