HabariChademamara
Senior Member
- Apr 6, 2015
- 113
- 91
Kwa habari na tarifaa rasimi kutoka moja kwa moja kwa kamanda John Heche aliyekuwa mwenyekiti wa vijana. taifa Chadema(Bavicha)ametangaza rasimi nia ya kugombea ubunge jimbo la tarime vijijini jimbo jipya.mwanzoni John Heche alikuwa ametangaza nia tarime mjini.Ila kwa busara pamoja na mpenzi mema ya Chadema ameamuwa kugombea vijijini ili makamanda wengine waweze kuendelea na harakati mjini.tarime vijijini kwa jumla ina kata 28.wakazi wa tarime amefurahia sana kwa mamuzi mazuri aliyofanya kamanda John na wameahidi kufanya naye Kazi kipindi kampeni zitakazo aanza mwezi ujao.