PreGE2025 John Heche: CHADEMA ni chama pekee kinachoweza kujaza watu mikutanoni bila kuwasomba kwa malori na kuweka kivutio cha helkopta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
980
Reaction score
3,646
“Hakuna chama chochote nchi hii ikiwamo na CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni CHADEMA tu”

“Watu wengine watatafuta vivutio kama helkopta ndio ili wajae kwenye mkutano, lakini chama ambacho kwa sasa kinaweza kutangaza mkutano kwamba kesho tupo Manzese na watu wakajaa , kesho tupo Kinondoni na Kinondoni watu wakajaa kuja kutusikiliza ni CHADEMA peke yake”

“Hiyo inakwambia nini? kwamba CHADEMA ndiyo chama kinachoungwa mkono na wananchi ,tuna viongozi kila kona ya nchi hii wanaosema CHADEMA imesambaratika sio sahihi hiyo wanaona maadui zetu tu na kila mtu ana haki na maoni yake”
 
Screenshot_2025-06-20-10-59-13-1.png
 
CHADEMA hawaelewi kutafuta kura wanawaza tu kujaza watu kuhutubia tu walio.mbele yao walipo tu

CCM baba lao

Mwenyekiti wa CCM au kiongozi wa juu akienda kuhutubia wilaya yeyote lazima kuwe na wawakilishi toka kila kata wilaya nzima wa CCM kuhudhuria ili wapeleke kwao kwenye kata zao kile alichosema kiongozi wa CCM kwa wilaya yao

Sababu hawezi hutubia au kufika kila kata

CHADEMA wanachotaka wahutubie hao waliopo eneo hilo tu ndio maana CHADEMA haina matawi kila kijiji Tanzania nzima na ndio kwenye kura huwa wanashindwa

CCM tutaendelea kubeba watu kwenye malori hatuachi .Lazima ujumbe ufike kila kona kila sehemu tawi la CCM lipo .Wakishasikia wakahutubie huko matawini kwao

CCM kuna political scientists kibao

Narudia CCM tutaendelea kubeba kwenye Malori hatuachi
 
Mwenyekiti wa CCM au kiongozi juu akienda kuhutubia wilaya yeyote lazima kuwe na wawakilishi toka kila kata wilaya nzima wa CCM kuhudhuria ili wapeleke kwao kwenye kata zao kile alichosema kiongozi wa CCM kwa wilaya yao

Sheria za usalama barabarani zinaruhusu kubeba watu kwenye malori kama hapa?
 
“Hakuna chama chochote nchi hii ikiwamo na CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni CHADEMA tu”

“Watu wengine watatafuta vivutio kama helkopta ndio ili wajae kwenye mkutano, lakini chama ambacho kwa sasa kinaweza kutangaza mkutano kwamba kesho tupo Manzese na watu wakajaa , kesho tupo Kinondoni na Kinondoni watu wakajaa kuja kutusikiliza ni CHADEMA peke yake”

“Hiyo inakwambia nini? kwamba CHADEMA ndiyo chama kinachoungwa mkono na wananchi ,tuna viongozi kila kona ya nchi hii wanaosema CHADEMA imesambaratika sio sahihi hiyo wanaona maadui zetu tu na kila mtu ana haki na maoni yake”
chama cha kigaidi chadema hamna nyimbo sasahivi
 
CHADEMA hawaelewi kutafuta kura wanawaza tu kujaza watu kuhutubia tu walio.mbele yao walipo tu

CCM baba lao

Mwenyekiti wa CCM au kiongozi juu akienda kuhutubia wilaya yeyote lazima kuwe na wawakilishi toka kila kata wilaya nzima wa CCM kuhudhuria ili wapeleke kwao kwenye kata zao kile alichosema kiongozi wa CCM kwa wilaya yao

Sababu hawezi hutubia au kufika kila kata

CHADEMA wanachotaka wahutubie hao waliopo eneo hilo tu ndio maana CHADEMA haina matawi kila kijiji Tanzania nzima na ndio kwenye kura huwa wanashindwa

CCM tutaendelea kubeba watu kwenye malori hatuachi .Lazima ujumbe ufike kila kona kila sehemu tawi la CCM lipo .Wakishasikia wakahutubie huko matawini kwao

CCM kuna political scientists kibao

Narudia CCM tutaendelea kubeba kwenye Malori hatuachi
daaa bro una akili sana chadema kama hawajaelewa hapo na mimi na kazia tutaendelea kubeba watu kwenye malori
 
CHADEMA hawaelewi kutafuta kura wanawaza tu kujaza watu kuhutubia tu walio.mbele yao walipo tu

CCM baba lao

Mwenyekiti wa CCM au kiongozi juu akienda kuhutubia wilaya yeyote lazima kuwe na wawakilishi toka kila kata wilaya nzima wa CCM kuhudhuria ili wapeleke kwao kwenye kata zao kile alichosema kiongozi wa CCM kwa wilaya yao

Sababu hawezi hutubia au kufika kila kata

CHADEMA wanachotaka wahutubie hao waliopo eneo hilo tu ndio maana CHADEMA haina matawi kila kijiji Tanzania nzima na ndio kwenye kura huwa wanashindwa

CCM tutaendelea kubeba watu kwenye malori hatuachi .Lazima ujumbe ufike kila kona kila sehemu tawi la CCM lipo .Wakishasikia wakahutubie huko matawini kwao

CCM kuna political scientists kibao

Narudia CCM tutaendelea kubeba kwenye Malori hatuachi
Wewe taahira Chadema watafute kura kwa uchaguzi gani wakati tayari serikali dhalimu ya CCM imeondoa thamani ya kura hapa Tanzania? No Reforms No Election.
 
Mtajijua sisi october tuna tick Mama Mitano tena
 
CHADEMA hawaelewi kutafuta kura wanawaza tu kujaza watu kuhutubia tu walio.mbele yao walipo tu

CCM baba lao

Mwenyekiti wa CCM au kiongozi wa juu akienda kuhutubia wilaya yeyote lazima kuwe na wawakilishi toka kila kata wilaya nzima wa CCM kuhudhuria ili wapeleke kwao kwenye kata zao kile alichosema kiongozi wa CCM kwa wilaya yao

Sababu hawezi hutubia au kufika kila kata

CHADEMA wanachotaka wahutubie hao waliopo eneo hilo tu ndio maana CHADEMA haina matawi kila kijiji Tanzania nzima na ndio kwenye kura huwa wanashindwa

CCM tutaendelea kubeba watu kwenye malori hatuachi .Lazima ujumbe ufike kila kona kila sehemu tawi la CCM lipo .Wakishasikia wakahutubie huko matawini kwao

CCM kuna political scientists kibao

Narudia CCM tutaendelea kubeba kwenye Malori hatuachi
Unaongea upumbavu mwamba! Kura wanazo ila huwa wananyang'anywa kwa mabavu! Polisi hawajitambui!
 
“Hakuna chama chochote nchi hii ikiwamo na CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni CHADEMA tu”

“Watu wengine watatafuta vivutio kama helkopta ndio ili wajae kwenye mkutano, lakini chama ambacho kwa sasa kinaweza kutangaza mkutano kwamba kesho tupo Manzese na watu wakajaa , kesho tupo Kinondoni na Kinondoni watu wakajaa kuja kutusikiliza ni CHADEMA peke yake”

“Hiyo inakwambia nini? kwamba CHADEMA ndiyo chama kinachoungwa mkono na wananchi ,tuna viongozi kila kona ya nchi hii wanaosema CHADEMA imesambaratika sio sahihi hiyo wanaona maadui zetu tu na kila mtu ana haki na maoni yake”
Fact..✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿❗❗🔨📌📌🔨
 
Haipingiki iyo atakayepinga ni zwa zwa tu 📌📌📌
 
Yes,
watu hutaka kujua kitu gani kitaropokwa next 🐒
 
Back
Top Bottom