PreGE2025 John Heche: CHADEMA ni chama pekee kinachoweza kujaza watu mikutanoni bila kuwasomba kwa malori na kuweka kivutio cha helkopta

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Fact..✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿❗❗🔨📌📌🔨
20250605_215745.jpg
 
“Hakuna chama chochote nchi hii ikiwamo na CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni CHADEMA tu”

“Watu wengine watatafuta vivutio kama helkopta ndio ili wajae kwenye mkutano, lakini chama ambacho kwa sasa kinaweza kutangaza mkutano kwamba kesho tupo Manzese na watu wakajaa , kesho tupo Kinondoni na Kinondoni watu wakajaa kuja kutusikiliza ni CHADEMA peke yake”

“Hiyo inakwambia nini? kwamba CHADEMA ndiyo chama kinachoungwa mkono na wananchi ,tuna viongozi kila kona ya nchi hii wanaosema CHADEMA imesambaratika sio sahihi hiyo wanaona maadui zetu tu na kila mtu ana haki na maoni yake”
Kazi ipo
 
CHADEMA hawaelewi kutafuta kura wanawaza tu kujaza watu kuhutubia tu walio.mbele yao walipo tu

CCM baba lao

Mwenyekiti wa CCM au kiongozi wa juu akienda kuhutubia wilaya yeyote lazima kuwe na wawakilishi toka kila kata wilaya nzima wa CCM kuhudhuria ili wapeleke kwao kwenye kata zao kile alichosema kiongozi wa CCM kwa wilaya yao

Sababu hawezi hutubia au kufika kila kata

CHADEMA wanachotaka wahutubie hao waliopo eneo hilo tu ndio maana CHADEMA haina matawi kila kijiji Tanzania nzima na ndio kwenye kura huwa wanashindwa

CCM tutaendelea kubeba watu kwenye malori hatuachi .Lazima ujumbe ufike kila kona kila sehemu tawi la CCM lipo .Wakishasikia wakahutubie huko matawini kwao

CCM kuna political scientists kibao

Narudia CCM tutaendelea kubeba kwenye Malori hatuachi

Sasa mkuu ndo muwabebe kwenye Malori
 
Kujaza watu kwenye mikutano hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kupata kura nyingi kwenye uchaguzi.Ni ujinga kusema "kufungwa tumefungwa lakini chenga twawala"
 
Muite chochote tutaendelea kubeba kwenye malori

October tuna tick Mama mitano tena
Mama yenu hataweza kampeni za Lissu ataishia kumtumia wasiojulikana tu! Ametikiswa na vi Mpina na Gwajima tu mpaka nut zimelegea sembuse mtiti wa Lissu!
 
Lisu wa kutikisa mtu?
CHADEMA kashindwa kuiongoza inasambatika ndio aiweze CCM?

Chadema tu inamtikisa hasa
 
“Hakuna chama chochote nchi hii ikiwamo na CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni CHADEMA tu”

“Watu wengine watatafuta vivutio kama helkopta ndio ili wajae kwenye mkutano, lakini chama ambacho kwa sasa kinaweza kutangaza mkutano kwamba kesho tupo Manzese na watu wakajaa , kesho tupo Kinondoni na Kinondoni watu wakajaa kuja kutusikiliza ni CHADEMA peke yake”

“Hiyo inakwambia nini? kwamba CHADEMA ndiyo chama kinachoungwa mkono na wananchi ,tuna viongozi kila kona ya nchi hii wanaosema CHADEMA imesambaratika sio sahihi hiyo wanaona maadui zetu tu na kila mtu ana haki na maoni yake”
Haahaa ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom