Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,215
- 10,282
Chaumma wanaishi bure kichwani mwake.“Hakuna chama chochote nchi hii ikiwamo na CCM kinaweza kuanzisha mkutano ‘Organic’ bila kusomba watu kwenye magari na wakaenda wenyewe kwenye mkutano ni CHADEMA tu”
“Watu wengine watatafuta vivutio kama helkopta ndio ili wajae kwenye mkutano, lakini chama ambacho kwa sasa kinaweza kutangaza mkutano kwamba kesho tupo Manzese na watu wakajaa , kesho tupo Kinondoni na Kinondoni watu wakajaa kuja kutusikiliza ni CHADEMA peke yake”
“Hiyo inakwambia nini? kwamba CHADEMA ndiyo chama kinachoungwa mkono na wananchi ,tuna viongozi kila kona ya nchi hii wanaosema CHADEMA imesambaratika sio sahihi hiyo wanaona maadui zetu tu na kila mtu ana haki na maoni yake”
Amandla....