figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Soon mtasikia linatolewa tamko kali la kupiga marufuku kuvamia/kubugudhi wale tuliowaita wezi kama lile la kutowataja wastaafu.Serikali ilitutangazia ACACIA ni majambazi, wananchi tumeamua kwenda kupambana na Majambazi ili kuchukua kilicho chetu, kwanini Polisi Watukataze na watumie nguvu kututawanya?
Hatutafikia hukoIkifika zamu ya kuvamia jengo jeupe lililopo karibu na soko la samaki mniambie, huenda ntaondoka na walau kile kiti nkakiuze npozee hii hali ngumu
sio busara. ni sawa na mbuge wa dodoma awaambie wananchi wavamie bunge kwa sababu walipitisha sheria zinazotoa mianya ya huo ujambazi wake. nchi inaongozwa kwa utawala wa sheria sio huo uhuni.
Utadondoka wewe kwanza, pole sana.Naona Tanzania ikidondoka