John Heche afika Moi kumjulia hali Mzee Bwege

Kilwa elewa neno Kilwa
ata ingekua sumbawanga mzee, kuna magonjwa ukienda hospital unaenda tu kukamilisha ratiba ila inakua ushafika stage mbaya sana, nshapoteza kaka yake mshua kwa kutozingatia afya
 
Hivi ni stage gani ya ugonjwa unataka kuiwahi ndio unakua na asilimia nyingi za kupona?
 
hizi ugonjwa bila kufanya check up za mara kwa mara kutoboa ngumu, na ni ugonjwa zinazokua kila sku kama huna ustarabu wa mazoezi na kula vizuri sku unaenda hospital sio kwamba unaenda kupewa tiba bali unaenda tu kuambiwa ulishachelewa
 
Nadhani mimi ntakua mmoja wapo maana nina allergy na foleni za hospital
 
hapana lazima iwe inapiga kazi
Inawezekana mkuu, wataalamu wafanyie kazi:-
Yes, a kidney from a deceased (dead) person can be transplanted into a patient with kidney failure
This is known as a deceased donor kidney transplant. The kidney is removed from the deceased donor and transplanted into the recipient, replacing their diseased or injured kidney.
​
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…