stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,832
- 15,766
kwa kwel sina taarifa za kutosha apo, naonaga tu watu wakitaka figo wanasema itoke kwa mtu alie hai lakini pia it makes sense kwa mtu alie hai bado celi znakua hazijaharibika kokoteInawezekana mkuu, wataalamu wafanyie kazi:-
Yes, a kidney from a deceased (dead) person can be transplanted into a patient with kidney failure