Zamani ili uwe mwandishi wa habari na mtangazaji, lazima usomee, uwe na kipaji na uwe na chombo cha kufanyia kazi, yaani media kama Redio, TV, gazeti. Ujio wa social media ume liberalize tasnia ya habari, kila simu janja ni media, kila mtu sasa ni mwandishi wa habari, ni reporters, ni mtangazaji, sio lazima kwenda shule wala kujua kusoma na kuandika!, unachohitaji ni simu janja na bando tuu!.
Kiukweli kabisa fani imevamiwa!.
P