Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,187 Reaction score 26,211 Sep 12, 2014 #21 Chanzo
Arnold Ringo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 2,318 Reaction score 394 Sep 12, 2014 #22 Hivi Ulishaonagawapi Unayaukumu Maji kwa Chura au Samaki?
msumeno JF-Expert Member Joined Aug 3, 2009 Posts 2,826 Reaction score 1,738 Sep 12, 2014 #23 ndo maana mimi nasema hawa UKAWA hawa..... mhhhhhhhhhh
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,187 Reaction score 26,211 Sep 12, 2014 #24 Mbona aliwaongezea cku 60?anashindwa nin kuzikatisha?Hapa asiangaliwe ukawa,2angaliwe wananchi 2navyobebeshwa mzigo usio na msingi! Msi2fanye wajinga,hao wanaomshangilia cheyo wanashangilia ulaji!2nataka bmk lisitishwe now!
Mbona aliwaongezea cku 60?anashindwa nin kuzikatisha?Hapa asiangaliwe ukawa,2angaliwe wananchi 2navyobebeshwa mzigo usio na msingi! Msi2fanye wajinga,hao wanaomshangilia cheyo wanashangilia ulaji!2nataka bmk lisitishwe now!
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Sep 12, 2014 #25 Kutaka kusafiri na mtu asiyetaka safari ni ngumu mno. Ataleta kila sababu ya kipuuzi ili kukwamisha safari hiyo. Ndicho wanachokifanya UKAWA.
Kutaka kusafiri na mtu asiyetaka safari ni ngumu mno. Ataleta kila sababu ya kipuuzi ili kukwamisha safari hiyo. Ndicho wanachokifanya UKAWA.
Bpnoma Member Joined Sep 3, 2014 Posts 73 Reaction score 14 Sep 12, 2014 #26 Rudini kwenye rasimu acheni propaganda!
I ICHONDI JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 600 Reaction score 134 Sep 12, 2014 #27 Lizaboni said: Mkuu, usitake kupotosha. Kama viongozi wa upinzani wanajua kuwa Bwana Mapesa ni kuwadi wa CCM, iliwezekana vipi wakamchagua kuwa Mwenyekiti wa TCD? Click to expand... Usisahau CCM ipo kwenye TDC
Lizaboni said: Mkuu, usitake kupotosha. Kama viongozi wa upinzani wanajua kuwa Bwana Mapesa ni kuwadi wa CCM, iliwezekana vipi wakamchagua kuwa Mwenyekiti wa TCD? Click to expand... Usisahau CCM ipo kwenye TDC
P Ptz JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 541 Reaction score 385 Sep 12, 2014 #28 Cheyo ni miongoni mwa wajumbe wa BMK wenye njaa kali yupo bungeni ulitegemea aseme bunge lisitishwe akati yupo ndani anapiga pesa
Cheyo ni miongoni mwa wajumbe wa BMK wenye njaa kali yupo bungeni ulitegemea aseme bunge lisitishwe akati yupo ndani anapiga pesa
Hansard JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 842 Reaction score 247 Sep 12, 2014 #29 UKAWA wamepoteza mwelekeo