John Cheyo: Mazungumzo ya maridhiano kuendeshwa kwa gredi yaani ya 'ukubwa' wa vyama viwili tu siyo sahihi

Kuna vyama vilianzishwa kama biashara ya kupata pesa za ruzuku n.k.
Hata kauli mbiu zao zinajifafanua mfano huyu MAPESA, kuna mwingine UBWABWA.
SASA lazima apige yowe akiona posho za vikao zinampita.
Wapi vyama vingine hajashirikishwa, alie juu ataonekana tu, au alitaka viwe vinatajwatajwa kama Chadema. Dawa ni kuwa na wanachama wengi, hao ndio watakaokisemea chama.
Nadhani ukifanyika uhakiki wa wanachama hawezi kuzidi hata 10 nchi nzima
 
Nadhani ukifanyika uhakiki wa wanachama hawezi kuzidi hata 10 nchi nzima

UDP ya John Cheyo ni mamluki wanaotumiwa na chombo kinachojiita Baraza Maalumu la Vyama vya Siasa linalokutana kwa Siku 3 mwezi Agosti 2023 na chombo hicho kudai halina lengo la kunyoosheana vidole wala kutumbuana macho. Bali ni mkutano utakaojadili Lugha zinazopaswa kutumika kwenye Siasa kwa kufuata sheria ansema msajili wa vyama vingi vya siasa Jaji Mutungi
 
Kweli tupu
 
01 Agosti 2023
Katoro, Tanzania

CHAMA CHA SIASA CHADEMA KINACHOKUBALIKA NA KUAMINIWA NA WANACHI KUWA KINA UBAVU WA KUSHINDANA NA CHAMA KONGWE DOLA
 
11 September 2023
Dar es Salaam, Tanzania

VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI KWENYE MKUTANO wa RAIS SAMIA HASSAN ...

1694430979503.png

Mh. John Cheyo wa UDP na Prof. Lipumba wakishiriki mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa leo 11 September 2023 uliohutubiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan.

Mkutano huo Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia umejikita Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini, Jijini Dar es Salaam

1694432090804.png

Wadau wa Demokrasia, Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Viongozi wa Vyama vya Siasa, pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya Mkutano Maalum wa Baraza hilo na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini tarehe 11 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.

Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.
 
  • Kicheko
Reactions: K11
11 September 2023
Dar es Salaam, Tanzania

VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI KWENYE MKUTANO wa RAIS SAMIA HASSAN ...

View attachment 2745813
Mh. John Cheyo wa UDP na Prof. Lipumba wakishiriki mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa leo 11 September 2023 uliohutubiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan
Hawa ndio viongozi wa Tanganyika?
 
UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MBARALI, VYAMA VITANO VYAJITOKEZA

Vyama vitano vyachukua fomu za uteuzi uchaguzi mdogo jimbo la Mbarali Tanzania. Hayo yabainishwa na msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwanguru katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. Kofia nyingine ya Bw. Missana Kwangaru yeye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbalali Mkoa wa Mbeya.

KAMPENI ZAANZA KWA KISHINDO
09 Sept. 2023

DP chama cha Mtikila ktk kampeni jimbo la Mbarali, Mbeya uchaguzi mdogo wa mbunge, rudisheni kadi za CCM kama kule Mtwara

View: https://m.youtube.com/watch?v=Btsmwhomk6Y

Mgombea wa DP Mzee Oswald Joseph Mndeva aanza kampeni kabambe huku akiwaomba wakaazi wote wa Mbarali waichague DP ili waweze kuendelea na shughuli za maendeleo za kilimo, uvuvi na ufugaji ambazo ni shughuli kuu maeneo ya Usangu ambazo zinapata changamoto kutokana na sera mbovu CCM katika sekta hizo tahwa zinaziajiri maelfu ya wakaazi wa Mbarali.

Wagombea wengine ni Halima Abdallah Magambo wa AAFP, Bw. Zavery Laurent Seleleka wa UDP, Bw. Exavery Town Mwataga wa CCK, Bw.Bosco Daudi Mahenge wa UPDP huku chama kikongwe cha CCM Bi. Bahati Ndingo ndiyo anasimama.

Uchaguzi huo mdogo unatazamiwa kufanyika tarehe 19 September 2023 taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliyotundikwa katika tovuti yake rasmi www.nec.go.tz /news inasema.
 
Mwenyekiti wa chama cha UDP Mh. John Cheyo alalamika siasa kuwekwa "gredi" vyama gani vinaweza kujadili katiba ya nchi, maana kwa sasa suala hili linajadiliwa na vyama viwili tu kimoja kinajiita ni tawala na kingine ni chama 'kikubwa' huku vyama vingine vinavyoitwa vya mfukoni vikiachwa nje ya mjadala huu mkubwa.

Mzee Cheyo anasema umri wake umamueleza kuwa leo chama kinaweza kuwa kikubwa na tawala lakini kesho kikawa kidogo hivyo ikitokea mazungumzo muhimu je chama hicho huko miaka ijayo kitabaguliwa ?
Huyu mzee wa fursa, si alikuwa mfua mbeleko ya chama chetu huyu!!
 
UDP ya John Cheyo ni mamluki wanaotumiwa na chombo kinachojiita Baraza Maalumu la Vyama vya Siasa linalokutana kwa Siku 3 mwezi Agosti 2023 na chombo hicho kudai halina lengo la kunyoosheana vidole wala kutumbuana macho. Bali ni mkutano utakaojadili Lugha zinazopaswa kutumika kwenye Siasa kwa kufuata sheria ansema msajili wa vyama vingi vya siasa Jaji Mutungi
Kumbe that was foreseen/kutabiriwa/kujulikana?
 
Mbarali, Mbeya
Tanzania

Katibu mkuu Rashidi Ligania Rai wa chama cha AAFP walalamikia uchaguzi mdogo

View: https://m.youtube.com/watch?v=Qugq-6POVs8

Mh. Rashidi Ligania Rai katibu mkuu wa AAFP akizungumza mbele ya waandishi wa habari, aelezea faulo nyingi zinazoendelea kujaribu kudhoofisha kampeni za chama chake katika ushiriki wake kuwania nafasi ya ubunge jimboni Mbarali .

AAFP inayojifunganisha na kutetea wakulima kama moja ya kazi zake za kisiasa ...
 
UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MBARALI, VYAMA VITANO VYAJITOKEZA

Vyama vitano vyachukua fomu za uteuzi uchaguzi mdogo jimbo la Mbarali Tanzania. Hayo yabainishwa na msimamizi wa uchaguzi jimbo la Mbarali Bw. Missana Kwanguru katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali. Kofia nyingine ya Bw. Missana Kwangaru yeye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbalali Mkoa wa Mbeya.

Wakurugenzi wa halmashauri kusimamia chaguzi ni haramu hukumu ya Mahakama ya Afrika yatamka:

23 Juni 2023
MAKAO YA MAHAKAMA YA AFRIKA
Arusha, Tanzania

MAHAKAMA YA AFRIKA BAADA YA KUTOA HUKUMU HII YA KIHISTORIA, YATOA MAAGIZO HAYA YATEKELEZWE HARAKA INAVYOWEZEKANA :

Serikali yapewa agizo na Mahakama ya Afrika kuitundika hukumu hii ya kihistoria katika tovuti, mitandao, ofisi za umma za sheria kote Tanzania ili raia waisome hukumu hii

Kuwa serikali ianzishe mchakato wa kubadilisha sheria kupitia muswada bungeni ili sheria zake ziendena na hukumu hii iliyotolewa, protokali na chapter za Afrika

Kuwa serikali iwe inatoa mrejesho / feedback kuhusu hatua inazochukua ili kukazia hukumu hii sheria mpya iliyoelekezwa katika kutoa mazingira huru ya Tume ya Uchaguzi na mawakala wa uchaguzi...
Source : African Court Cases | Details of a case

011 / 2020 - Bob Chacha Wangwe and Legal and Human Rights Centre vs United Republic of Tanzania​

17 February 2023

Mzee John Cheyo - Hili la vyama vinavyojiita Chama Tawala na Chama Kikubwa kuteka agenda za nchi halikubaliki

Mwenyekiti wa chama cha UDP Mh. John Cheyo alalamika siasa kuwekwa "gredi" vyama gani vinaweza kujadili katiba ya nchi, maana kwa sasa suala hili linajadiliwa na vyama viwili tu kimoja kinajiita ni tawala na kingine ni chama 'kikubwa' huku vyama vingine vinavyoitwa vya mfukoni vikiachwa nje ya mjadala huu mkubwa.

Mzee Cheyo anasema umri wake umamueleza kuwa leo chama kinaweza kuwa kikubwa na tawala lakini kesho kikawa kidogo hivyo ikitokea mazungumzo muhimu je chama hicho huko miaka ijayo kitabaguliwa ?

Anaongeza kuwa ustaarabu wa kisiasa uwe katika nyanja zote na siyo lugha tu. Hili la ukubwa na huyu mtawala haikubaliki hivyo baraza la vyama la siasa lipewe hatamu na jukumu la kuongoza mazungumzo yatayojumuisha vyama vyote badala ya vyama viwili kujifungia chumbani bila wananchi kushirikishwa na ushirikishwaji ndiyo people's power ya wale rafiki zetu.

Mkongwe huyo wa siasa anasema maisha ni magumu ni katika mifuko yao wananchi inayosababishwa na bei ya mafuta kupanda. Hivyo hii ya serikali kuamua kuagiza mchele kutoka nje haitasaidia kupunguza bei ya mchele dukani.

Jibu la kukabiliana na mfumuko wa bei ni kutumia neno moja tu ruksa la rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi na hivyo bulk procurement ya wachache kuagiza (kununua) mafuta ndiyo mzizi wa mfumuko wa bei /root cause ya mfumuko wa bei unaonufaisha wanunuzi wachache wa mafuta kupitia bulk procurement.

Ruksa ya Mzee rais Ali Hassan Mwinyi kuacha milango wazi kwa kila kitu ndiyo jibu endelevu / sustainable la kukabiliana na mfumuko wa bei hivyo EWURA na TBS wabaki kuwa wasimamizi wa ubora wa bidhaa na baada ya hapo bei ya mafuta itakuwa chini ya Tshs 2,000 kwa lita na hili litapelekea mfumuko wa bei wa kila kitu nchini kwenda chini na maisha kuwa nafuu.

Wafanyabiashara wa vitu na bidhaa zote hata mafuta lazima wawe wengi na ndiyo unafuu kwa maisha ya wananchi utapatikana, hii zimamoto ya kusimamia bei ya mafuta au kuagiza mchele toka nje kukabiliana na ughali wa maisha siyo suluhisho la kudumu.

John Cheyo mfanyabiashara wa siku nyingi anasema watanzania zaidi ya nusu hawaishi mashambani, bali wanaishi mijini na shamba lao ni mifukoni hivyo mchele toka Katavi, Shinyanga na Mbeya kuwa juu kwa walaji wa mijini unasababishwa na bei ya juu ya nishati ya mafuta ya dizeli na siyo vinginevyo pia wala ruzuku haitasaidia jibu ni neno ruksa kuruhusu biashara huria ya wafanyabiashara wengi wa biashara za ndani na nje.

Mzee John Cheyo anafurahishwa na waziri wa kilimo Hussein Bashe kutoyumbishwa na mbinyo wa kelele za kutoa bei elekezi kwa mazao ya wakulima au kufunga mipaka wakulima kuuza soko la nje. Mazao ni Mali ya wakulima anasisitiza Mzee John Cheyo na hiyo ndiyo sera ya UDP ya kuwajaza mapesa watanzania ikiwemo wakulima.

Msingi wa maridhiano ni kuirudisha CCM kwenye kufuata sheria za nchi kwani kwa muda sasa hasa kipindi cha awamu ya tano Katiba ilivunjwa wazi wazi kwa mfano kupiga marufuku mikutano ya vyama vya upinzani ilikuwa ni ivunjaji wa sheria za nchi ambazo zinaruhusu mikutano hiyo. Katika kipindi hiki cha mateso haya waathirika wakubwa wa uvunjwaji huu wa sheria ilikuwa Chadema na vyama vingine viliunga mkono uvunjwaji huu wa sheria sasa hakuna haja ya kushirikisha vyama ambavyo vili compromise na uhalifu huu. Wao kwa vile walikuwa upande wa CCM basi moja kwa moja wameshirikishwa.
 
Exposing the Rot: Tundu Lissu’s explosive revelations unmask corruption within Mbowe’s CHADEMA.​

Exposing the Rot: Tundu Lissu’s explosive revelations unmask corruption within Mbowe’s CHADEMA.
In a surprising turn of events, the Deputy Chairman of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, has unleashed scathing criticism against his party, leaving party members and Tanzanians at large in a state of confusion due to his remarks.

The fiery politician has expressed grave concerns over the large sums of money currently circulating within his party, allegedly being used to sway election outcomes, especially in internal party elections.

Lissu made these remarks at a public rally yesterday in the Iringa region, claiming that it is quite astonishing to see the party having such vast amounts of money at its disposal now more than ever before. “Often when we need to hold our meetings or purchase sound equipment and other materials, the funds are nowhere to be found,” Lissu declared.

He further noted with disbelief that CHADEMA possesses an abundance of funds at this time, which is unprecedented, as historically, their party has been known for its financial constraints.

Political analysts and social media commentators have suggested that Lissu’s attacks on the abundance of these tainted funds within CHADEMA are aimed at Freeman Mbowe, the party’s chairman, who is a prominent figure in Tanzania’s opposition.

Lissu continued to make more startling statements at the rally by revealing that his party had urged him not to attend a meeting in Iringa until the conclusion of the party’s internal elections in the region. Lissu explicitly refused the party’s request and eventually appeared at the meeting in Iringa.

He asserted that his party is tainted by corruption, and he is certain that the dirty money circulating within CHADEMA does not belong to CHADEMA, and secondly, it does not serve the party’s best interests.
Lissu warned the people of Iringa and Tanzania as a whole to be very cautious about the type of leaders they elect. “Make sure you elect leaders who will not betray you,” Lissu stated.

“It is very surprising that whenever we want to hold public rallies or support our imprisoned members and engage in other party-building activities, we are told there is no money. But during elections, money suddenly appears, and in large quantities, where does it come from?” Lissu questioned the people of Iringa, urging them to be more vigilant about politicians within his CHADEMA party.

Reports indicate that there is currently a significant turmoil within CHADEMA’s top leadership as the country approaches the local government elections and the general elections of 2025. But most importantly, the rift between Lissu and Mbowe regarding who will run for the presidency in 2025 is significant. This might be the reason why Lissu is accusing Mbowe of distributing funds during internal party elections to form his early support base for 2025.

This could be a significant blow to the CHADEMA party, considering that the nation is heading towards local government elections and the general elections. For a party with aspirations of winning elections, this is not the time for internal strife on political platforms as it doesn’t build the party but rather weakens it from within.
Source : tanzaniatribune.
 
CHADEMA announces second phase of Demonstrations in three major cities.​

CHADEMA announces second phase of Demonstrations in three major cities.
The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) has declared a second phase of protests involving three major cities: Mwanza on February 13, Mbeya on February 20, and Arusha on February 27 this year.
John Mnyika, the Secretary-General of CHADEMA, stated that the objective of the demonstrations is to exert pressure on the government to implement measures to alleviate the hardships of the citizens. Additionally, CHADEMA aims to advocate for constitutional reforms to facilitate free and fair elections and to advance the process of crafting a new constitution.

This announcement underscores CHADEMA’s commitment to civic engagement and its call for meaningful reforms to address socio-economic challenges and ensure democratic principles in Tanzania.
Source : tanzaniatribune
 
Kinana is unhappy with CCM. Find out Why?​

Kinana is unhappy with CCM. Find out Why?
In an event inaugurating Chama Cha Mapinduzi’s office in Bukombe District, CCM’s Vice-Chairman (Mainland), Abdulrahman Kinana, expressed discontent over the growing trend of party leaders publicly criticizing government executives.

Kinana emphasized that such criticism should be addressed internally through appropriate meetings rather than publicly, as it reflects negatively on the party.

He urged party leaders to follow President Samia Suluhu Hassan’s example, emphasizing proper procedures for addressing concerns. Kinana stressed the importance of operating institutionally and announced plans to construct party offices that align with CCM’s status.

His dissatisfaction stems from the need for constructive criticism within the party rather than public humiliation of government officials.

Recently the CCM party head of propaganda cadre Paul Makonda has been going around the country conducting huge open meetings, attended mostly by people wearing green shirts and exposing the weakness of the government officials for not solving problems facing the locals.

Source : tanzaniatribune
 
Chama ambacho Uchaguzi ukifika kinatangaza kuwaunga mkono Wagombea wa chama kingine kinawezaje kushiriki mjadala wa Mambo Makubwa ya Nchi. Kwa nini napo kisiache kiwakilishwe na Chama kikubwa kilichowawakilisha kwenye Uchaguzi?
Cheyo anachosubiri ni baraza la vyama avute chake
 
Kinana is unhappy with CCM. Find out Why?​

Kinana is unhappy with CCM. Find out Why?
In an event inaugurating Chama Cha Mapinduzi’s office in Bukombe District, CCM’s Vice-Chairman (Mainland), Abdulrahman Kinana, expressed discontent over the growing trend of party leaders publicly criticizing government executives.

Kinana emphasized that such criticism should be addressed internally through appropriate meetings rather than publicly, as it reflects negatively on the party.

He urged party leaders to follow President Samia Suluhu Hassan’s example, emphasizing proper procedures for addressing concerns. Kinana stressed the importance of operating institutionally and announced plans to construct party offices that align with CCM’s status.

His dissatisfaction stems from the need for constructive criticism within the party rather than public humiliation of government officials.

Recently the CCM party head of propaganda cadre Paul Makonda has been going around the country conducting huge open meetings, attended mostly by people wearing green shirts and exposing the weakness of the government officials for not solving problems facing the locals.

Source : tanzaniatribune
Kinana katengwa kwenye dili na mapacha wanne(Makamba, Rostam, JK na Abdul)
 
Back
Top Bottom