Jogoo wa Kienyeji wana patikana

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
485
Hallo,

Nauza Jogoo wa kienyeji.
Bei ni Tsh: 38,500/- unaletewa hadi ulipo kwa maeneo ya city center.

Karibuni Wote.

Happy New Year.

ImageUploadedByJamiiForums1451628690.889598.jpg
 
Mwanailala kama udalali wako umezidi mkuu, ukienda supermarket ambapo tunaamini bidhaa ni ghali wanauza kuku wa kienyeji ambaye ameshakuwa processed waka mpaki kwa elfu ishirini. Kwa hiyo bei yako mtu akiongeza elfu mbili ananunua kuku wawili supermarket, ifike mahali mtafute shughuli rasmi za kufanya.

Ninawachukia sana madalali, vitu vingi jiji dar vimekuwa gharama sababu ya madalali (viwanja, vyumba na nyumba) mpaka kwenye uuzaji wa vitu masokoni kuna madalali. ACHENI UTAPELI
 
Duuu! mwana ilala umetisha Jogoo 38,500/=.Tuwaachie wafugaji waje watuambie bei harisi ya jogoo
 
Mimi nasubiri mayai yao, kwa bei hiyo bilashaka hao ni jogoo wa kutaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom