Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,557
Anapoingia tu sisiemu aelewe nimarufuku kutumia akili😄😄😄I. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Huwezi kua na akili na ukaendele kuwepo sisiemu tusidanganyane hapa taja hata watu watatu tu unaoona wako timamu?Ccm wakifanya hivi watakuwa wamefanya jambo kubwa tangu tupate Uhuru maana Joel Nanauka ndo GenZ mwenye akili kuzidi vijana wote
Who the fk is he, jina lake ni geni hapa nchiniI. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Pole sana chawa, kwanza hana phd so acha kumuita dr, and kaka joel ni mtu mwema sana, hawez jiingiza kwenye mambo kama hayoI. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Hata kama maccm yamekosa watu yameshindwa kumuweka hata mwashamba mpaka yakachukue mamlukiI. Tanzania One (TO) mwandishi wa vitabu na motivation speaker Nguli duniani Dr Joel Nanauka, anatajwa kumrithi Mheshimiwa Kinana kama Makamu Mwenyekiti wa Chama.
II. Hii ni kutokana na CV ya Dr Joel Nanauka na uzoefu wake katika uandishi na speeches pia kuvutia wapiga kura vijana (Gen Z) kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025.
Soma Pia:
Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM baada ya Kinana kujiuzulu?
Unaelewa kweli vigezo vya kuwa au kuitwa generation z?Ccm wakifanya hivi watakuwa wamefanya jambo kubwa tangu tupate Uhuru maana Joel Nanauka ndo GenZ mwenye akili kuzidi vijana wote
Sio Gen ZCcm wakifanya hivi watakuwa wamefanya jambo kubwa tangu tupate Uhuru maana Joel Nanauka ndo GenZ mwenye akili kuzidi vijana wote