matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
Nilimsikia January Makamba akilalamika UKAWA wameajiri mtaalamu kutoka nje special kutengeneza machafuko kipindi hiki cha uchaguzi.
Baadae nikaingia kwenye mitandao nikakuta wananchi wakimshambulia mtu anaitwa Joe Trippi kwa kueneza picha za uongo kwenye jumuiya za kimataifa kuwa Tanzania kuna crisis kubwa unaitajika msaada.
Kuna hash tag #stopjoetrippi
Swali huyu jamaa ni nani?