Jamani wanandugu mimi naomba tu sala zenu niweze kupata kazi ninayoiota kila sila siku,huwa nasali kila siku ila nikijumuisha na maombi yenu nitapokea baraka nyingi zaidi na nitaitwa kazini mapema.Asanteni
Oooh Haleeluuyaaa !
"YEREMIA 32:26-27"
Ndipo neno la Bwana likamjia Yeremia,kusema
Tazama ,Mimi ni Bwana Mungu wa wote wenye mwili.
Je! Kuna neno gumu lolote nisiloliweza ?
..........................................................................
Mkuu imani yako itakuponya(kukupa kazi)
nami pia ninakuombea upate sawa na hitaji
lako bila kuchoka.
""Mungu ni MwemA""
Upo wimbo mmoja wa kuabudu kutoka ktk hiyo aya! Kama unao, nijulishe kwani unanikumbusha mbali.............. Taaazama wewe ni Bwanaaaaaa, Mungu wa wote weenyee mwiliiii, je kuna neno gumu lolote usiloooliwezaaaaaa!!
Jamani wanandugu mimi naomba tu sala zenu niweze kupata kazi ninayoiota kila sila siku,huwa nasali kila siku ila nikijumuisha na maombi yenu nitapokea baraka nyingi zaidi na nitaitwa kazini mapema.Asanteni
Kazi gani unaiotaga wewe.... pengine mi HR naweza kukupatia mapemaJamani wanandugu mimi naomba tu sala zenu niweze kupata kazi ninayoiota kila sila siku,huwa nasali kila siku ila nikijumuisha na maombi yenu nitapokea baraka nyingi zaidi na nitaitwa kazini mapema.Asanteni
Jamani wanandugu mimi
naomba tu sala zenu niweze kupata kazi ninayoiota kila sila siku,huwa
nasali kila siku ila nikijumuisha na maombi yenu nitapokea baraka nyingi
zaidi na nitaitwa kazini mapema.Asanteni
Kazi umeshapata kumbuka kutokupokea rushwa na pia wahudumie watu wote kwa upole na haki. Amen