Mkuu Hakika utakua msaada tosha wa plan b maana kila kitu kinagomaEndelea kusubiri kazi toka ktk karatasi ulizoweka ktk mfuko wa kaki uliopo ktk droo ya kabati chumbani kwako uone kama umuri unasubra. Akili yako yote imefungwa ktk kuajiriwa, kuajiriwa ndio plan A yako vipi plan B?
Pole ndugu. Ila nakushauri uondoe imani hiyo kwamba hakuna fedheha kubwa duniani kama hiyo uliyoitaja. Zipo kubwa zaidi ya hiyo. Sema tu kwamba kila mtu anapopata tatizo au shida fulani ujikuta akiamini kuwa hakuna tatizo au shida nyingine kubwa zaidi ya hiyo aliyonayo. Na mtu huyo huyo baadae akija kupata shida nyingine kubwa ataona kuwa hiyo shida iliyopo muda huo ndiyo kubwa zaidi ya zote ikiwa ni pamoja na aliyowahi kupata huko nyuma.Hakuna fedhea kubwa dunia kama Umesoma Umri Unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu
Mkuu ujumbe wako umeniingia vizuri taufanyia kazi na umenitia nguvu sanaPole ndugu. Ila nakushauri uondoe imani hiyo kwamba hakuna fedheha kubwa duniani kama hiyo uliyoitaja. Zipo kubwa zaidi ya hiyo. Sema tu kwamba kila mtu anapopata tatizo au shida fulani ujikuta akiamini kuwa hakuna tatizo au shida nyingine kubwa zaidi ya hiyo aliyonayo. Na mtu huyo huyo baadae akija kupata shida nyingine kubwa ataona kuwa hiyo shida iliyopo muda huo ndiyo kubwa zaidi ya zote ikiwa ni pamoja na aliyowahi kupata huko nyuma.
Tukirudi kwenye hoja yako kikubwa ni kupuuza wale wanaokudharau, uweke juhudi katika kutafuta riziki yako bila kukata tamaa na pia kwa njia halali na zisizo za mkato. Pia kama wewe ni muumini wa uwepo wa Mungu usichoke kumwomba Mungu kwani kama ulivyokwisha sema mwenyewe ipo siku atakufungulia milango na wanaokudharau leo hii watabaki macho kodo.
Pole sana!Na hapo ndiyo udhaifu wa elimu tuliyo nayo unapoonekana!Elimu inawaaminisha kuwa mafanikio au heshima inapatikana kwa kuwa na kazi ya kuajiriwa kitu ambacho si kweli!Kwa maana yako siku utakapomuona profesa naye kapanga foleni benki akiomba mkopo ili aweze hata kununua gari,unaweza kumshangaa!Hakuna fedhea kubwa dunia kama Umesoma Umri Unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu
Asante mkuu mtu unajaribu kila aina ya mbinu kujikwamua lakini wapi bado ukiangalia Watu wanaokuzunguka wanakuongezea machungu tu kama binadamu yataka moyoPole sana!Na hapo ndiyo udhaifu wa elimu tuliyo nayo unapoonekana!Elimu inawaaminisha kuwa mafanikio au heshima inapatikana kwa kuwa na kazi ya kuajiriwa kitu ambacho si kweli!Kwa maana yako siku utakapomuona profesa naye kapanga foleni benki akiomba mkopo ili aweze hata kununua gari,unaweza kumshangaa!
Usikate tamaa kamanda one Day yes.....Kabisa mkuu acha tu ngoja nikomae tatoka siku moja
Kweli inabidi Tukomae tuUsikate tamaa kamanda one Day yes.....
Sahv ligi ngumu tunakomaaa na bundesliga hili
Ova
Hupaswi kukata tamaa!Tatizo ni kwamba elimu yetu inawaaminisha wanafunzi kuwa nje ya kuajiriwa hakuna maisha!KITU AMBACHO SI SAHIHI!KAZI YA KUAJIRIWA INATATUA MATATIZO FULANI LAKINI INATOKEZA MATATIZO MENGINE!KINACHOKUSUMBUA SIYO KUKOSA KAZI YA KUAJIRIWA BALI NI MADHARA YA IMANI AMBAYO ELIMU YAKO ILIKUJENGEA!!!WENGI WAMEATHIRIWA.RAFIKI YANGU NAYE AMEKONDA KABISA KWA KUSUBIRIA KILA SIKU AJIRA ZITANGAZWE SERIKALINI,HII NI HATARI.KUNA MENGI UNAWEZA KUFANYA.Asante mkuu mtu unajaribu kila aina ya mbinu kujikwamua lakini wapi bado ukiangalia Watu wanaokuzunguka wanakuongezea machungu tu kama binadamu yataka moyo
...mesoma Umri Unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu
Hakika elimu imetudumaza hata kujiari mitaji hakunaNi fedheha indeed. Tatizo elimu yetu imetupumbaza na kutufanya tuwaze "kuajiriwa tu". Hata mtu aliyesomea say "project planning, monitoring and evaluation" nae anashindwa ku"plan" hata kaproject kake kadogo tu.
Kwa kasi hii ya Baba J inabidi tuanze sasa kuwaza kujiajiri wenyewe ili heshima irudi maana chances za kuajirika kwenye sekta zote zinazidi kusinya kila iitwapo leo.
Hakika elimu imetudumaza hata kujiari mitaji hakuna
Hapo tena,ndipo elimu hii inapoonekana haina maana!Wasomi wanaaminishwa kuwa mtaji ni pesa tu!HIYO SIYO KWELI HATA KIDOGO!MTAJI UNATIA NDANI PIA NGUVU ULIZONAZO NA MUDA UNAOTUMIA!!INAMAANA NA HIVYO VITU VIWILI HAUNA????Hakika elimu imetudumaza hata kujiari mitaji hakuna
Hakika mkuu nakujanjoo tulime samaki!
Mimi nataka kuacha kazi mkuu.,kuajiriwa ni umaskini Mara 1000Ni fedheha indeed. Tatizo elimu yetu imetupumbaza na kutufanya tuwaze "kuajiriwa tu". Hata mtu aliyesomea say "project planning, monitoring and evaluation" nae anashindwa ku"plan" hata kaproject kake kadogo tu.
Kwa kasi hii ya Baba J inabidi tuanze sasa kuwaza kujiajiri wenyewe ili heshima irudi maana chances za kuajirika kwenye sekta zote zinazidi kusinya kila iitwapo leo.
Mimi nataka kuacha kazi mkuu.,kuajiriwa ni umaskini Mara 1000Ni fedheha indeed. Tatizo elimu yetu imetupumbaza na kutufanya tuwaze "kuajiriwa tu". Hata mtu aliyesomea say "project planning, monitoring and evaluation" nae anashindwa ku"plan" hata kaproject kake kadogo tu.
Kwa kasi hii ya Baba J inabidi tuanze sasa kuwaza kujiajiri wenyewe ili heshima irudi maana chances za kuajirika kwenye sekta zote zinazidi kusinya kila iitwapo leo.
Cha muhimu komaa kutafuta huku ukimtumaini Mungu na ipo siku utatoboaHakuna fedhea kubwa dunia kama Umesoma Umri Unaenda afu huna kazi kila mmoja atakudharau ila naamini Mungu ni wakwetu sote wakati wangu utafika tu
Asante mkuuCha muhimu komaa kutafuta huku ukimtumaini Mungu na ipo siku utatoboa