Yote ni maslai unaweza kulipwa iyo milioni moja lkn husifanye kitu zikaishia kuhonga,pombe na ushirikina.nidhamu kwenye kipato unachopata ni muhimu.kwa maendeleo haijalishi unapata sh ngp
Endelea kusubiri kazi toka ktk karatasi ulizoweka ktk mfuko wa kaki uliopo ktk droo ya kabati chumbani kwako uone kama umuri unasubra. Akili yako yote imefungwa ktk kuajiriwa, kuajiriwa ndio plan A yako vipi plan B?