Job vacancies Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB)

Job vacancies Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB)

Wakuu naona kimya kuhusu interview, labda kuna yeyote aliyeitwa kwenye usaili tayari? Maana wamesema only shortlisted candidates shall be informed
 
Wale wa mwezi wa saba nawakumbusha leo ni tarehe 31 mwezi 7 mwaka 2017...hivyo mnaruhusiwa kusimamia msimamo wenu hadi mwezi wa saba mwakani panapo majaaliwa.
AKHSANTENI
 
Daaah yaan ndo nimeona majina tarehe 11 na aptitude test ishafanyika...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom