Job vacancies Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB)

Nimemaliza four four ila sikupata cheti lakini ninafani ya motor vehicle mechanics level two naweza omba

Wajuzi nijuzene
 
Najaribu kuapply hizi nafasi kupitia portal yao toka juzi sijafanikiwa...tafadhari aliefanikiwa msaada unahitajika
 
cyo mbaya chet cha kuzaliwa ni cmple ila hyo leaving kuedit ndo shida
Leaving ndo Simple zaidi Yamejaa Kila Shule Unapiga na Typewriter tuu mchezo Umeisha Ngumu Transcript mi ya kwangu Ina Mwaka wa Kuzaliwa

Lakini Transcript huwa siyo document muhimu Sehemu nyingine wanaweza wasikuombe hasa Serikalini wanapenda Cheti.
 
kwahyo leaving naweza edit
 
Hao ni waxiuuu tu,.
Yaani wananistaafishaaaa ivi ivii Jaman...
Hapa nina miaka 28 hadi sasa sijaajiriwa alafu leo wananiambia kigezo miaka 25 ,kama Sio waxiuuu ni nn.. Babekiiiii .....mamaeeeee
Mkuu wewe ni mwenzangu kabisa.nimemaliza degree nikiwa Na 23 now nipo kitaa huu Mwaka wa 3 daaah Mungu Tusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom