Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
25yrs degree?
Wapo sema ni wachache tu mkuu.
25yrs degree?
Certified copies kvp wakati tunascan vyeti original na kuvituma direct? Sasa soft copies tunacertify vip? Wajuzi nisaidieni hapa
.But hii ni kwa wale waliosoma vyuo nje ya nchi.
kwa maaana hiyo hapo juu.
waliosomea hapa hapa nyumbani hiyo certified haiwa husu?? wascan tu vyeti na kutuma??
ebu saidia hili mkuu.thanks
Ndiyo kwa mujibu wa tangazo ni waliosoma nje ya nchi tu ndio wanatakiwa ku-certfy vyeti vyao mkuu.
![]()
Mkuu mbna hapo wamesema attach cerified copies..na mi sijawaelewa kidgo
Huu ndo mwanzo wa kukosa kazi . Umeelewa tangazo? Linasema utume certified copies haijalishi ulisoma wapiNdiyo kwa mujibu wa tangazo ni waliosoma nje ya nchi tu ndio wanatakiwa ku-certfy vyeti vyao mkuu.
mmhHuu ndo mwanzo wa kukosa kazi . Umeelewa tangazo? Linasema utume certified copies haijalishi ulisoma wapi
HV huwez kuedit umri kwenye chet...!!???25 yrs! Wonders shall never end
Huu ndo mwanzo wa kukosa kazi . Umeelewa tangazo? Linasema utume certified copies haijalishi ulisoma wapi
naomba kuulza hv hamna uwezekano wa kuedit umri kwenye chet hasa leavngWapuuzi 25 years so siku hizi Wastaafu Wana miaka 26?
naomba kuulza hv hamna uwezekano wa kuedit umri kwenye chet hasa leavng
mkuu ww ulichelewa kuanza shule?? watu wamemaliza MD na hawajafika 2525yrs degree?
kma leavng ikiwezekana hata cha kuzaliwa haitashindkanaVipi kuhusu cheti cha kuzaliwa nacho utaedit