Job vacancies Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB)

minimum wanataka ukomee lower secnd kwenda juu. au hujaelewa hapo. kama upo upper secnd upo kwenye vigezo mkuu
 
Naomba kwa yoyote mwenye kujua zaidi kuhusiana na PCCB hususani positions ya assistant investigator muundo wa salary scale. Extra earnings kama posho. Na vitu vingine. Natanguliza shukrani
 
Mzee hata kuitwa hujaitwa..unaulizia mshahara..hahaha! Kila la kheri
Ni vizuri kujua A - Z ya kitu chochote unachotaka kufanya. The law of life, maana sa hivi tofauti na zamani ambapo mtu allikuwa anajiendea endea tu. As long as ukijua hamna hasara yoyote kuliko kutokujua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom