Job resign

MLULUNI

Member
Nov 30, 2011
13
0
Ebu wana jf nipeni ushauri kwan nimeamua kuresign kaz niliyonayo kwani nalipwa laki 2 tu then mafanya kazi more than 14hrs without overtime ni kampuni ya wahondi then ukizingatia mi ni graduate wa computer science.ebu nipen ushaur jamani hawa wahindi siyo watu wazuri labisa
 
Sasa unataka Ushauri gani Mkuu? Wa Namna ya Kuandika Resignation letter au? Au unataka ushauri wa whether u resign au uendelee kukomaa?
 
Umeshafikiria ukiacha kazi hapo hiyo laki 2+ utaipata wapi? Kama bado ni bora ufanye kazi ukijipanga kwa kusaka kazi bora zaidi.
 
Computer science/technology and related fields ni moja ya sekta ambazo zinasakwa kwenye job market. Umeishapata alternative job? Unazo skills za kuuza kwa waajiri? Kama unazo ni jitihada yako tu utapata kazi. Kama huna/hujiamini ridhika na hizo laki 2 mpaka utakapokuwa na utaalamu wa kutosha. Kuwa graduate siyo issue kama huna skills.
 
Hakuna field yeyote inayosakwa ktk labour market ya Tanzania labda ile kunyonga watu magerezani. Na hii ishu ya kuwa graduate si kigezo cha wewe kulipwa kiasi gani. Mnajaza viburi kichwani huku hamna skills za kazi na utendaji mbovu na mawazo ya kuheshimika bila jitihada za kujijengea heshima. Kama hujapata kazi usiache hiyo uliyonayo kwa kudhania umesoma, kila mwaka vyuo vinamimina watu sokoni na hawana ajira.

Huo mshahara kweli ni mdogo, tena sana. Cha muhimu fanya juhudi ya kupata kazi nyingine hlf ndio uache hiyo.
 
Ebu wana jf nipeni ushauri kwan nimeamua kuresign kaz niliyonayo kwani nalipwa laki 2 tu then mafanya kazi more than 14hrs without overtime ni kampuni ya wahondi then ukizingatia mi ni graduate wa computer science.ebu nipen ushaur jamani hawa wahindi siyo watu wazuri labisa
[h=6]uliomba kazi ukapata kazi, usione kazi kuifanya kazi, ukiona kazi kuifanya kazi, basi acha kazi uone kazi kuipata kazi[/h]
 
uliomba kazi ukapata kazi, usione kazi kuifanya kazi, ukiona kazi kuifanya kazi, basi acha kazi uone kazi kuipata kazi.
We ni mkali! Duu
 
[h=6]uliomba kazi ukapata kazi, usione kazi kuifanya kazi, ukiona kazi kuifanya kazi, basi acha kazi uone kazi kuipata kazi[/h]

Aminia mzeiya wa relix! mwambie haache then aone iyo laki 2 ka ni ndogo!
 
Tafuta ingine, ukipata ndio uresign. Mi najua mtu anaepokea laki na nusu, anafanya kazi in the same conditions, na ana masters lakini hajaresign, bado anatafuta...
 
acha hiyo kazi hayo ni matusi na dharau..then katika maamuzi kama hayo ushauri au taarifa ni baada ya kuacha. mi niliacha nilikua nalipwa 7000 per day nimekaa kitaa then sa hv nimepata pamoja siyo nzuri sana na ni ya muda ila sifanyi masaa 14 kama hiyo ya kwanza hawa wahindi we ngoja policy ibadilike lazima tuingie kwenye ofice zao, kazi ya masaa 14 hata muda wa kutafuta nyingine haupati.
 
Unajua NI WATU WACHACHE SANA WANAJUA HILO.WANAFIKIRI MTU UNAVYOAMUA KUFANYS HIVYO HUPEND PESA.ASANTE MKUU KWA USHAURI nalipwa 7000 per day nimekaa kitaa then sa hv nimepata pamoja siyo nzuri sana na ni ya muda ila sifanyi masaa 14 kama hiyo ya kwanza hawa wahindi we ngoja policy ibadilike lazima tuingie kwenye ofice zao, kazi ya masaa 14 hata muda wa kutafuta nyingine haupati.[/QUOTE]
 
Usiache kazi tafuta kwanza nyingine. Unless una skills sana kwenye labour market kiasi kwamba unaweza kugonga tu ofc ya mtu wakakudaka juu juu wanakuhitaji. Kazi ngumu kupata Mkuu.
 
We mzeya wa2 2po mtaani 2natamani hata hiyo kilo2 kwe2 kubwa, we waona ndogo dah!!
 
Washitaki hao, usiwacheleweshe nenda mahalamani ukapate haki yako.
 
Tatizo letu na hizi degree zetu,hatutaki kuchakarika,yaani laki2 kwa mwezi masaa 14,halafu bila aibu unasema wewe graduate?
Mie nakushauri kitu kimoja,acha hiyo kazi haraka ,na usitafute kazi nyingine,jiajiri mwenyewe,hiyo laki2 unaweza kuitengeneza within a day kama upo serious .Hii nchi pesa ipo mingi sana,nashangaa tunakimbizwa na wahindi,eti kisa kila graduate anataka kuvaa tai hata kama analipwa laki kwa mwezi.

Ebu wana jf nipeni ushauri kwan nimeamua kuresign kaz niliyonayo kwani nalipwa laki 2 tu then mafanya kazi more than 14hrs without overtime ni kampuni ya wahondi then ukizingatia mi ni graduate wa computer science.ebu nipen ushaur jamani hawa wahindi siyo watu wazuri labisa
 
Pole bro ..usiangalie return kwa sasa ( salary) focus zaidi kwenye kazi. Kama hiyo kazi ya masaa 14 ina add value kwenye experience yako basi utakuwa ni mtu mwenye faida sana kuliko yule wa masaa 8 halafu ha gain chochote in term of experience...hiyo salary isiwe ndio kigezo, ila kama kazi haikupi experience ya kutosha hapo ndio unaweza kufikiria kuresign...

Usi base zaidi kwenye mafanikio ya muda mfupi , jiwekee malengo ya muda mrefu..naamini hiyo kazi ya muhindi ya masaa 14 itakujenga kwa muda mfupi sana na utakuwa una heshimu kazi koz una invest muda wako mwingi hapo...kuhusu mshahara usijali koz ukitoka hapo kwa muhindi utafidia mshahara wako wote ulioupoteza..then in 10 years jiangalie utajiona umepiga hatua nzuri sana ule mshahara wa laki 2 utakuwa ni historia tu ila ile experience uliyoipata kwa muhindi bado utakuwa unachapia fimbo milele na milele...Ahsante.
 
Da we unatamani ila nikikuleta apo nadhani kesho yake hurudi tena.tatizo c hata mshahara pia muda unaofanya kazi na pia hawana utu mkuu.pia kazi nyingi sana hadi ukifika home unahisi kuchanganyikiwa then ni very risk job
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom