Job Opportunity: Full-Time Nanny Wanted

Andika kiswahili eboooh
 
Bora huyo nani aende tu Lubumbashi. Kazi zote hizo alafu baada ya 30 days anatoka na 70k
 
kwa sasa Dada wa Kazi wa kumpa 70K labda umtoe kijijini na umsafirishe
 
Halafu limeandikwa kwa kiingereza.
Mtu ajichoshe kusoma kiingereza chote hicho na Mshahara 70
Na mabeki tatu wengi hata kiingereza huwa hatujui.
Huyu mtu fara kweli anadhani akiandika kiingereza ndo tutashoboka aandike natafuta mfanyakazi wa ndani anilelee watoto wachanga afanye na kazi za ndani ....toddlers aren't not a jock😜😜😜😜😜😜 ashindwe pepoo na hapa ana kazi mbali wa kuangalia watoto na beki 3



My take labda anataka kufanya udalali amekopi na kupaste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…