4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 5,979
- 6,784
Ni kweli lawama kwa shetani huwa haziishi wakati mwengine anapewa lawama hata ambazo hausiki.Kuna siku shetani kaacha kulaumiwa?
Za yule dhalimu 96% zilikuwa lawama za kweli.Ni kweli lawama kwa shetani huwa haziishi wakati mwengine anapewa lawama hata ambazo hausiki.
Basi kumbe ana tofauti na shetani.Za yule dhalimu 96% zilikuwa lawama za kweli.
Mfumo wetu wa uongozi ni very complicated..kila mahali serikali ipo. Hii inafanya serikali kuwa na mabavu yasiyoiva. Bungeni serikali ipo..mahakamani ipo.. kwenye agencies imetamalaki.. kwenye mashirika imejaa imetulia.. kwenye taasisi ipo.. dahhh, nowhere to take a breather.Huu utaratibu wa Rais kuwa na uwezo wa kulivunja Bunge ni hatari sana na unalifanya Bunge liishi kwa woga na kujipendekeza kwa mfadhiri wao mkuu ambaye ni Serikali chini ya Rais
Unakula na kulala kwa Baba na Mama Ukikua Utajuaacha uvivu fanya kazi maumivu yako wapi hapo
YAANI MNAACHA KUFANYA KAZI MNATARAJIA MLIPIWE KILA KITU MNAPENDA SANA METEREMKO UKIONA NI GARAMA NENDA KAOLEWE UTAHUDUMIWA KILA KITU WEWE KAZI YAKO KUTOA TUNDU TUUnakula na kulala kwa Baba na Mama Ukikua Utajua
Bunge la ndugu-yai sio bunge bali Ni circus.Kitu gani kimemtisha Ndugai mpaka akatamka hayo maneno, labda kuna dalili mbaya kaoneshwa na wabunge wenzake wa CCM hivyo kaamua kucheza na akili zao.