Job Ndugai: Wabunge mkiikataa bajeti mmejivua Ubunge wenyewe kwa mujibu wa Katiba

Aisee Katiba, Katiba, ili kuondoa ukakasi wa aina hii, kwamba serikali ije na bajeti ambayo wabunge wanaona sio sawa ,watu wapitishe tu, kuogopa rungu la Ikulu, kuvunja BUNGE kisa tu bajeti kukataliwa!
 
Huu utaratibu wa Rais kuwa na uwezo wa kulivunja Bunge ni hatari sana na unalifanya Bunge liishi kwa woga na kujipendekeza kwa mfadhiri wao mkuu ambaye ni Serikali chini ya Rais
 
Huu utaratibu wa Rais kuwa na uwezo wa kulivunja Bunge ni hatari sana na unalifanya Bunge liishi kwa woga na kujipendekeza kwa mfadhiri wao mkuu ambaye ni Serikali chini ya Rais
Mfumo wetu wa uongozi ni very complicated..kila mahali serikali ipo. Hii inafanya serikali kuwa na mabavu yasiyoiva. Bungeni serikali ipo..mahakamani ipo.. kwenye agencies imetamalaki.. kwenye mashirika imejaa imetulia.. kwenye taasisi ipo.. dahhh, nowhere to take a breather.
 
Ni Tanzani pekee BAJETI iliyojaa MAUMIVU kwa WANANCHI Imepitishwa kwa Asilimia 94% kwa VIFIJO na NDEREMO za WAJUMBE wa BUNGE la CHAMA KIMOJA BUNGE lisilo na KAMBI RASMI ya UPINZANI baada ya SPIKA KUWATISHA Huku WANANCHI WAKIILALAMIKIA
 
Kitu gani kimemtisha Ndugai mpaka akatamka hayo maneno, labda kuna dalili mbaya kaoneshwa na wabunge wenzake wa CCM hivyo kaamua kucheza na akili zao.
Bunge la ndugu-yai sio bunge bali Ni circus.
Kuanzia covid 19 wote Hadi baadhi ya wabunge wa majimbo sio chaguo la wananchi. Mfano gwajiboy kacuaguliwa na Nani? Au da Joy.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom