Job, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, umetukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni. Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!! Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.
KUNA WANAMWANGA KILIMANJARO JAMANI! KWA MAGHEMBE. kama vile hatuna mbunge sisi. Ukijaribu kufanya kitu hata kusaidia jamii yako unapigwa Juju.
Job, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, umetukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni. Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!! Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.
<br /><br />Taratibu basi, huko Mwanga si ndiko mlikokunywa maji ya bendera nyinyi?
Job, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, umetukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni. Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!! Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.
Nafikiri juju ni issue nyingine. Labda tafuteni wataalam wa juju wakusaidieni. Au jaribu kumuona mbunge wa CCM wa Korogwe vijijini, ndiye mtaalam issue hizo.KUNA WANAMWANGA KILIMANJARO JAMANI! KWA MAGHEMBE. kama vile hatuna mbunge sisi. Ukijaribu kufanya kitu hata kusaidia jamii yako unapigwa Juju.
<br />Nafikiri juju ni issue nyingine. Labda tafuteni wataalam wa juju wakusaidieni. Au jaribu kumuona mbunge wa CCM wa Korogwe vijijini, ndiye mtaalam issue hizo.
2015 ataongeza na ka mountain dew mtamchagua tu huko dodoma bado sana mpaka mje mbadilike iko kaziJob, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, umetukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni. Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati
hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!! Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.
Na bado..............Nyoka ni Nyoka tu hata akivua gamba........... Cha muhimu katiba ibadirishwe na kila mkuu wa muhimili tumpigie kura.......na wala asiwe mbunge.......Mambo ya kuteuana ndo haya yanayopelekea spika wa bunge kuhudhuria vikao vya wabunge wa CCMJob, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, umetukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni. Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!! Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.