Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!

Hata hivyo ushazipiga mno za nchii Job,siyo had uvimbewe. Kale pensheni kimya kimya gogoman
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Amekuwa mbunge kwa robo karne. Atuoneshe amefanya nn kwa wana Kongwa kabla ya kuondoka.
 
Ni uamuzi wa busara mno.

Na vingunge wenzanke waige mfano.

Tupate mawazo mapya sio watu wale wale miaka yote.
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Hata angetaka kugombea hapati
 
Back
Top Bottom