Hongera kuitwa interview kaka,
cha msingi Jipange katika Wewe na elimu yako kuvielezea kwa ufasaha.
kwanini wewe ndio uwe chaguo na siyo mwingine
kwanini ulichagua kusoma hicho ulichosoma
elimu yako itasidiaje huyo anayetaka kukuajili
siku hizi kuna mambo ya migomo je ikitokea wafanyakazi wenzio wamegoma wewe je utaungana nao
je unataka ulipwe kiwango gani cha mshahara
Then lazima liwepo swali la general knowledge ili kukupima unaelewa vipi kinachoendelea duniani ama Tanzania.
nakutakia maandalizi mema