Job agencies

Shora Open

Member
Jul 18, 2013
94
63
Habari, kwa wanaojua au wenye uelewa wa hawa wanajiita job agency, tafadhari tujuze. Kuna wanaokwambia after contract unampa kiasi flani cha pesa. Kwa mfano niliwahi kuambiwa kutoa 500usd.

Waliokutana na hii tupeane ujuzi na experience hapa. Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom