JKT ZITTO and OTHERS

View attachment 88322

Uzalendo ama usanii......?

Hii itakuwa ni SYMBOLIC attendance tu Mkuu. Na si jambo baya. Wanajenga precedence vijana wajue si kitu kibaya kwenda JKT. Its good. Taifa la Israel lipo imara kama unavyo sikia moja ya sababu ni kwamba kila raia kapitia JKT.

Sema tu madoido niliyokuwa nayasikia staff room kutoka kwa Waalimu wenzangu waliopitia JKT siyaoni hapo. Naona hawa vijana wamevaa trak suti badala ya bukta. ha ha ha ha. Sijaona mess tin, sijaona shamba la karanga, sijaona kamanda wa kimasai ambaye ajui kusoma na kuandika. Halaf mbona mmoja kakosa "green vest ya kijani?". Si wangempa "green vest nyeupe bas!"

Anyway, I like this.... Its a good symbol.
 
nachukia wanafiki, post imekaa kizandiki, you call that usanii?? rubbish
 
Na yule aliyeenda kuchukua mshiko kwenye atm kwa bodaboda je?


Jamani...hawa watu tunataka waishi maisha ya kawaida, wakiishi maisha ya kwaida tunawaita wasanii...vyovyote vile, ni lazima waonje maisha ya kawaida ya mTanzania wa sasa, iwe kisanii au kwa nia ya kweli kujua mTanzania wa kawaida anapitia masahibu gani. Hivyo HK anaweza akasemea usalama wa mwendesha na mpanda boda boda kwani naye kapanda (hata kama ilikuwa kisanii)...Zitto na Azzan wanaweza wasemea mgambo kwani wameonja joto ya jiwe huko (hata kama ulikuwa usanii)....watokee na wengi tu, wapande madala dala..wale kwa mama ntilie..waruke madimbwi mvua ikinyesha..watibiwe kwenye zahanati zetu za mbavu za mbwa..watoto wao wasome kwenye shule za kata etc..iwe kwa usanii au kwa kumaanisha!
 
mwaya mie nimeishia kucheka tu, sina neno baya wala zuri Mpwa
 
Sikujua kwamba jeshini wanafunzi wana muda kwenda twitter na Facebook!

Vijana wa kitanzania wasidanganyike wakazani nao maisha yatakuwa kama kina Zitto na Azan..msoto palepale!
 
Namwona Zitto shambani na earphones...!!

anyway bado namkubali kamanda wangu..#UTAIFAKWANZA
 
msoto huwa ni six week no kulala kwao ilikuwa ni wiki moja tu kunyimwa usingizi au kuondolewa uraia baada hapo maisha yanaendelea kwaiyo sio ajabu hata kurusiwa weekend kutoka kidogo mandhali urudi kwa muda unaotakiwa na usiende pahala maafande wanapotembelea au wanaposamasolt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…