JKT nomaaa

hilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.

Mkuu hilo unaloliona hapo siyo Vumbi bali ni Tope na wametoka kuhenyeshwa vibaya mno na Makamanda wao ila faida yake utakuja kuiona ukishafuzu hayo Mafunzo.
 
Unafunzwa kutojali hali au mazingira ...yaani hata kwenye maji machafu unalala ili kumvizia adui au kukwepa risasi ya adui...
mkuu hivi kati ya mwanajeshi na polisi nani anafaa kula mazoezi makali muda wote.
kwasababu nikipiga hesabu polisi yeye muda mwingi anacheza na mishe hatari za kupambana na wahalifu

lakini mwanajeshi muda mwingi anakuwa yupo kambini unakuta hadi anastaafu unakuta hajawahi kukutana mishe ya hatari kama ambavyo anakutana nazo polisi kila siku.

lakini cha kunishangaza hawa polisi huwa wakitoka depo unakuta wanaonekana wako fit vibaya mno lakini akisha ajiliwa ndani muda mchache tu unakuta anakitambi kikubwa.
 
Polisi coz mda wote yuko field
 
hilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.
Upo totally wrong!!!! Sio kila zoezi lina maana jeshini acha kudanganya watu!!!!
 
Mkisi sikumkuta . pale nilimkuta co elizafani malembo, course commander alikuwa Lt nkya ...
Op uzalendo
Cc tumemkuta co lut canal mkisi sasa ni kanali nkya ni kepten ila ile kambi ina baridi balaaaa 841 daah nataman kurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…