JKT nomaaa

Mmmhh wamejiremba half usiku ni bonge la disco a.k.a chenja......hatulalii eeeh hatulali mpk asubuhi
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu,Kama kungekuwa na uwezekano wa kurudia tena ningekuwa wa kwanza.
 
hilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.
 
hilo zoezi ni la nini? na linamaana gani? kwasababu mm najua kila zoezi linamaana yake ila hilo zoezi la kugalagala kwenye vumbi sijalielewa maana yake nini.
Unafunzwa kutojali hali au mazingira ...yaani hata kwenye maji machafu unalala ili kumvizia adui au kukwepa risasi ya adui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…