Jkt mwaka na elimu ya degree

Jkt mwaka na elimu ya degree

Kaanga

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
22
Reaction score
0
Wadau wa jf,kama yupo anaefaham sekta yoyote inayohtaj vijana walopitia JKT.
 
Wadau wa jf,kama yupo anaefaham sekta yoyote inayohtaj vijana walopitia JKT wenye degree ya BSc.IT anijuze niweze kuapply na wenzangu wengne mana tpo mbal na miji hatna updates zozote.

Tunaambiwa ninyi ndio mtakuwa wa kwanza kupata taarifa za ajira hivyo sisi tunawategemea ninyi kwa habar kamili
 
Police, tanapa, magereza , uhamiaji na jwtz wanawasubiri. Au hamtaki kuvaa uniform?
 
Wadau wa jf,kama yupo anaefaham sekta yoyote inayohtaj vijana walopitia JKT wenye degree ya BSc.IT anijuze niweze kuapply na wenzangu wengne mana tpo mbal na miji hatna updates zozote.

Weka umri na uzoefu hapa!
 
yani na mahovyohovyo yote yanayolenga kujenga uvumilivu wako hayajakuingia? "fata maelekezo na kuwa mvumilivu"
 
yani na mahovyohovyo yote yanayolenga kujenga uvumilivu wako hayajakuingia? "fata maelekezo na kuwa mvumilivu"

kujila kumeptiliza, halafu mbele hapana uhakika.
 
Back
Top Bottom