Mpele mwanao ndo utajua ni ukweli au lahMwanao anahitaji kukupiga shtuka dingi, sema mtumie ukijua kajiongeza si unajua vijana apate ya kuvimbia kidg
Hakuna kitu kama icho jkt
Hiyo gharama ya kumpeleka na kurudi si ananunua mabegi kumiMpele mwanao ndo utajua ni ukweli au lah
Nauli watarudishiwa kuhusu buti beg hakuna kitu Kama hicho maana Kuna raba na buti pamoja na nguo za mazoezi ni bureMpele mwanao ndo utajua ni ukweli au lah
Hakuna nauli inayorudishwa huyu si wa Kwanza kwenda Jkt elfu2018 kijana alienda Mgambo Tanga, alivofika pia kulikiwa na kununua hayo mabegi na yanauzwa hapo kambini, hili la buti ndo halikiwepo, hoja yangu ni Kwa nini hivi vitu havioridheshwi direct?Nauli watarudishiwa kuhusu buti beg hakuna kitu Kama hicho maana Kuna raba na buti pamoja na nguo za mazoezi ni bure
Huyo mwanao anajiongeza tu mpe hela ya matumiz kacheza na akili yako huyo
Buti wanauziwa 15000Nauli watarudishiwa kuhusu buti beg hakuna kitu Kama hicho maana Kuna raba na buti pamoja na nguo za mazoezi ni bure
Huyo mwanao anajiongeza tu mpe hela ya matumiz kacheza na akili yako huyo
TunapelekaHivi bado kuna wazazi wanapeleke watoto wao jkt?? Hata kama ni mujibu wa sheria??
Kuna faida nyingi tu tofauti na wewe unavowaza, kwangu Mimi kijana kwenda kule na kukutana na wenzake wa kutoka sehemu mbalimbali hiyo faida ukizingatia mtaji makubwa wa kazi yoyote Ile ni watu.Sioni faida kama wakienda baadae hawaajiliwi.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Walipaswa kuiweka miongoni mwa vifaa vinavyohitajika siyo kijana anaenda kukutana nayo huko
MJIBU WA SHERIA hawaendi kutafuta ajira mkuu,Sioni faida kama wakienda baadae hawaajiliwi.
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Mkuu unabishana na katoto ako hakajui lolote, kanakupotezea muda wako tuHakuna nauli inayorudishwa huyu si wa Kwanza kwenda Jkt elfu2018 kijana alienda Mgambo Tanga, alivofika pia kulikiwa na kununua hayo mabegi na yanauzwa hapo kambini, hili la buti ndo halikiwepo, hoja yangu ni Kwa nini hivi vitu havioridheshwi direct? Pili kijana wangu amesoma boarding tangu primary siyo MTU wa kupenda kuvimba na vijisent vidogo vidogo, ni kijana ambaye hata alipokuwa anafunga shule endapo amebakisha hela hununua zawadi kuwaletea ndg zake au mamake. Hivo sitarajii kuwa anaweza sema inahitajika buti ili Hali haiitajiki, pia hela yake ya matumizi anayo nilimwambia nenda ukiona mambo magumu sepa na nauli nilimpa kabisa
Mkuu unabishana na katoto ako hakajui lolote, anakupotezea muda wako tuHakuna nauli inayorudishwa huyu si wa Kwanza kwenda Jkt elfu2018 kijana alienda Mgambo Tanga, alivofika pia kulikiwa na kununua hayo mabegi na yanauzwa hapo kambini, hili la buti ndo halikiwepo, hoja yangu ni Kwa nini hivi vitu havioridheshwi direct? Pili kijana wangu amesoma boarding tangu primary siyo MTU wa kupenda kuvimba na vijisent vidogo vidogo, ni kijana ambaye hata alipokuwa anafunga shule endapo amebakisha hela hununua zawadi kuwaletea ndg zake au mamake. Hivo sitarajii kuwa anaweza sema inahitajika buti ili Hali haiitajiki, pia hela yake ya matumizi anayo nilimwambia nenda ukiona mambo magumu sepa na nauli nilimpa kabisa
Sure hakajui kokoteMkuu unabishana na katoto ako hakajui lolote, anakupotezea muda wako tu
Kumbuka wakiwa kula nafas ya kubaki jeshini hutokea Wana andika majina haswa watu wa SayansWalipaswa kuiweka miongoni mwa vifaa vinavyohitajika siyo kijana anaenda kukutana nayo huko
MJIBU WA SHERIA hawaendi kutafuta ajira mkuu,