M mugajwale Senior Member Feb 19, 2015 105 23 Dec 25, 2015 #1 Naombeni tujadili,mafunzo ya jkt yana faida kwa vjana? weng wao wanapokosa ajira baada ya vyuo,hawaenendi tofauti?
Naombeni tujadili,mafunzo ya jkt yana faida kwa vjana? weng wao wanapokosa ajira baada ya vyuo,hawaenendi tofauti?
M mugajwale Senior Member Feb 19, 2015 105 23 Dec 25, 2015 Thread starter #2 wanapokosa ajira hawawezi kujiunga na makundi ovu? au kuna mbinu gani za kuwafanya wawe waadilifu? wahusika changieni
wanapokosa ajira hawawezi kujiunga na makundi ovu? au kuna mbinu gani za kuwafanya wawe waadilifu? wahusika changieni
Shida na raha JF-Expert Member Aug 8, 2014 3,773 3,471 Dec 25, 2015 #3 Jiunge na majangili tukushambulie na motor.