JKT Kujitolea

Msukuma 94

Senior Member
Apr 21, 2017
133
91
Habarini wakuu samahani napenda wazoefu mnisidie nataka kujua hali ya ushindani wa nafasi za JKT kwa mikoa ya kusini (Ruvuma, Lindi na Mtwara) maana kuna mtu amenishauri kua nafasi zikitangazwa nifunge safari kutuma maombi moja kati ya hiyo mikoa. Nina diploma ya maendeleo ya jamii
 
Kwa hiyo stashahada yako si marketable sana jeshini, nafasi ni za mafungu, yaani wanatoa kwa kila level nafasi kadhaa. Siku hizi diploma & degree holders ni wengi mno.
Cha msingi jiamini pambana hapo ulipo, kama hujiamini nakushauri nenda kwa mkuu wa wilaya mweleze shiida yako atakushika mkono.
Ukiwaaendea wengine kuna uwezekano mkubwa ukapigwa fedha bure. Mshauri wa mgambo anaweza kukusaidia ila wengi ni wapenda rushwa.
 
Asante mkuu... Ila sijaelewa hapo ulivyosema mkuu wa wilaya kunishika mkono, je kuna mshiko itabid nitoe???
 
Habarini wakuu.... samahani napenda wazoefu mnisidie nataka kujua hali ya ushindani wa nafasi za JKT kwa mikoa ya kusini (Ruvuma, Lindi na Mtwara) maana kuna mtu amenishauri kua nafasi zikitangazwa nifunge safari kutuma maombi moja kati ya hiyo mikoa. Nina diploma ya maendeleo ya jamii
wewe upo wapi na huko uliko hakuna nafasi..?
nyie ndio tunataka kuanza kuwashughulikia kwa intake ijayo mnaleta upumbavu na tamaa kwa nafasi za wenzenu
 
Hali ya ushindani ipo hata katika mikoa ya kusini japo sio sawa na Mkoa wa Mara,Mwanza au Dsm.

Kule kusini darasa la saba ndo wanakua wengi sana tena sana, wanafuatia form four, then form six wachache hasa wasichana unaweza kukuta hakuna kabisa, diploma pia wachache na bachelor wachache.
Sasa tatizo ni kwamba watu wengi siku hizi wanakimbilia huko kusini kwahiyo unajikuta ushindani unakua mkubwa tena.

Jitahidi upate refa(mtu wa kukufanyia njia iwe nyeupe), andaa pesa usidanganywe na mtu hii nchi bado rushwa ni marketable maana kama mko watu wawili na sifa zinalingana kinachofuata wanachukua mwenye mkono mzuri(pesaaa).

Washauri wa mgambo hasa wale wa wilayani wanakula rushwa balaa, kua makini kuna wasichana wanatoa mpaka rushwa ya ngono na mwisho wa siku hawapati nafasi.

All the best kuruti mtarajiwa.
 
Asante mkuu... Ila sijaelewa hapo ulivyosema mkuu wa wilaya kunishika mkono, je kuna mshiko itabid nitoe???
Hapana, cha msingi wewe nenda halmashauri yenu mtafute mtumishi mmoja umbembeleze akupe namba ya DC , kisha umtafute kwa wakati wako umwombe akupe appointment.
Siku mkionana jiachie kwa heshima zote, you can win more than you wish.
 
Akikuuliza namba yangu umeitoa wapi?
 
Back
Top Bottom