Ila haija specify ni lini ila wamesema mafunzo yata endelea kuendeshwa kwa vipindi tofauti tofauti..sasa cjui ni lini bora wangesema yapo tujue moja kuliko kutuweka njia panda.

Chuo ni october kwa sababu tayari bajeti ilishapita,vyuo vya binafsi havina ruzuku toka serikalini hivyo vinategemea wanafunzi wapya ili viweze kujiendesha,
Jkt haina uwezo wa kuchukua wanafunzi elfu 20 waliobaki kwa mkupuo mmoja.