Kwa experience watu wengi wameliosoma BBA wapo mtaani hawana ajira na kwa elimu ya bongo haimuandai mlengwa kuja kuwa self employed nakushauri nenda zako jeshini kapige kozi kula ajira jipange afu omba kwenda kusoma usome ukiwa na ajira yako!Wadau,niwaombeni ushauri,kijana wenu nimemalza form six hivi majuzi,na nilibahatika kwenda JKT na nikamliza kozi ya miezi mitatu.
Nilikuwa pia nimefanya michakato ya kujiunga na chuo na nimepata kozi ya BBA,
Leo nimepigiwa simi na JKT naulizwa kama napenda kuendelea kulitumikia Jeshi nirudi tena.
Hali hii imeniweka njiapanda kuwa je niende JKT au niende chuo!?....nimewaomba ushauri watu kadhaa,naona wanazidi kunichanganya tu. Pamoja na.kuwa natakaiwa kuamuavmwenyewe kipi kifanyike lakini si dhambi kuwaombeni japo kwa ushari. Tu kwani mimi Naamini hapa Jf hapan kitakacho harbka kwa kunishauri tu kuwa je niende chuo au nirudi tena Jeshini? Kwani wamedai kuna kozi maalum tutakiwa kuzisoma hasa sie tulichukwa masomo ya sayansi..nisaidieni mdogo wenu kulingana na uzoefu wenu tafadhari!
Achana na jeshi kijana. Ina maana mpaka hapo ulipo ulikuwa bado huna ndoto? Pole sana. Ukupigiwa simu na TRA?Utaenda? Ukipigiwa sm na TANAPA utaenda? Kaa na ndoto zako ndo ufanikiwe. Tatzo wazaz hatuwalei watoto wetu kujua ndoto zao. Wanatangatanga tu. Mara jeshi, mara chuo, mara uraiani, mar.............aaaaah bhana we!
Kwa experience watu wengi wameliosoma BBA wapo mtaani hawana ajira na kwa elimu ya bongo haimuandai mlengwa kuja kuwa self employed nakushauri nenda zako jeshini kapige kozi kula ajira jipange afu omba kwenda kusoma usome ukiwa na ajira yako!
Achana na jeshi kijana. Ina maana mpaka hapo ulipo ulikuwa bado huna ndoto? Pole sana. Ukupigiwa simu na TRA?Utaenda? Ukipigiwa sm na TANAPA utaenda? Kaa na ndoto zako ndo ufanikiwe. Tatzo wazaz hatuwalei watoto wetu kujua ndoto zao. Wanatangatanga tu. Mara jeshi, mara chuo, mara uraiani, mar.............aaaaah bhana we!
Kijana achana na ndoto fanya vitu harisi, maisha ya ndoto ni enzi zile na inaonekana zimeshayeyuka km ulisoma sayansi ulitegemea kuea mhandisi au dakatari sasa umechaguliwa kusomea utawala, hapo bado kuna ndoto tena? km kweli ulipenda sayansi na jeshi wanakuhitaji kusomea sayansi kozi maalumu me nakushauri km umri wako bado mdogo jeshini utafika mbali ukianza na nyota moja yaani luteni usu. mpaka ufike umri wa miaka 40 si haba unaweza kufika rank ya kanali. lkn jeshi ni wito km haimo ndani ya moyo wako acha nenda shule, askari asiye na moyo hawezi kulinda nchi yake.