Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
JK anakaba kote kote mwaka huu! Kuanzia wafanya kazi mpaka kwenye kwaya!kampeni hadi kwenye kwaya
JK anakaba kote kote mwaka huu! Kuanzia wafanya kazi mpaka kwenye kwaya!kampeni hadi kwenye kwaya
Yaani baada ya neno AISEE --- AISEE hapo hapo Nchi yetu ikakosa RAIS kwa muda wa dakika kama 15 nzima - :becky: cheza video hii tena uhakikishe.